Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Wengi hawajui.

Ila tatizo ninaloliona hata ukimwambia kuwa mimi siwezi mpaka unihashue, mwanamme hachukui hatua

Hapo kutochukua hatua ndo wanapoharibu mazima

Ni common sense ya wanaume hiyo Gaijin

Ni vigumu mtu kuhangaika na kuku wake mwenyewe tena ambaye kamfuga toka utotoni na kumkinga dhidi ya mwewe. Keshakua sasa, kazi ni kuhangaika na wale wa jirani ati!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu nimekiona hapa,naombeni kujibiwa,mwanamke anaehashuliwa na asie mumewe ina maana hahashuliwi na mumewe?

Kama jibu ni ndio,wanawake wa JF asilimia kubwa hawahashuliwi na waume/wapenzi wao.
Kama jibu ni hapana,basi wanawake wa JF wanacheat ki hashuo sana(kama kufanya hivyo ni kucheat)

Duuuuuhhhhh,

Hizi ni tuhuma nzito sana. Hapa tunahitaji kamati teule kuchunguza!
 
hii ngumu kumesa aisee!!! labda nisijue afanye kwa siri, ila nilijua, panachimbika!!!
 
Wengi hawajui.

Ila tatizo ninaloliona hata ukimwambia kuwa mimi siwezi mpaka unihashue, mwanamme hachukui hatua

Hapo kutochukua hatua ndo wanapoharibu mazima

Sijui kama wanamme wanalijua hili
Wanawake wanapenda sana kuhashuliwa

Girls you're right. I think you like kuhashuliwa.

Niwape mfano mmoja

Nilienda kwenye store moja nikahudumiwa na mdada mmoja.

Akaniuliza: "You fine?"

Nikamjibu: No! (huku nikiwa very serious usoni).

Akauliza: "Why?"

Nikamjibu: "Because I hate to to be served by you whenever I come to shop in this store!"

Akashtuka kidogo kisha akauliza: "Why?"

Nikamjibu: "Because you're too pretty and I find it difficult to stand in front on you week in, week out".

Akatabasabu, nikatabasamu kisha nikachukua mzigo wangu na kuanza.

Basi nikienda kwenye hiyo store najifanya kumkwepa makusudi, au najifanya kama nimejisahau naenda kwenye teller lake, halafu nasema: "Shit! Not again" na kwenda kwa teller la mdada mwingine.

Basi anafurahi, anachekaaa. Naona ameshawaambia na wadada wengine pale, basi nao wanajifanya wako busy ili nihudumie na huyo mdada.

Ila wapo baadhi ya wadada unawahashua wao wanadhani unawatongoza.

Na waume zao wanakuja juu: Richard Gere Accused of Flirting with Married Woman - Entertainment & Stars
 
Babu DC,unadhani hili ni siri?
Yoyote ambae ni mzoefu kidogo tu anaweza kuliona hili tena kwa uwazi mkubwa.
Wanawake wa JF wanahashuliwa sana na majamaa humu.

Unaweza tu kujiuliza,hivi kama mtoto anapewa chakula cha kutosha inakuaje akale kwa jirani?
Dark City ,kweli nakuambia hapo tatizo lipo.
Either chakula anachokula nyumbani hashibi
Au chakula si kizuri kama cha jirani!
 
Last edited by a moderator:
hayaaaaaaaaaaaaaaaaaa wote mnaopenda kuhashua na kuhashuliwa come this way.................twendeni tech and gadgets mkapate mahashuo humo. ya kisayansi, mara moja. haya Kongosho na Gaijin bila kumsahau EMT ongozeni njia................:director::director::director::director:
 
Last edited by a moderator:
Ni common sense ya wanaume hiyo Gaijin

Ni vigumu mtu kuhangaika na kuku wake mwenyewe tena ambaye kamfuga toka utotoni na kumkinga dhidi ya mwewe. Keshakua sasa, kazi ni kuhangaika na wale wa jirani ati!

Anhaa, kama ni hivyo basi msilalame likiwafika, maana ni kosa lenu wenyewe kwa kutochukua hatua.
 
Anhaa, kama ni hivyo basi msilalame likiwafika, maana ni kosa lenu wenyewe kwa kutochukua hatua.

Hahahahahahah

Sasa uone common sense ya kiume ilivyokaa kibange bange...Yaani akistuka kuwa anaibiwa...hata kwa hausho tu, kama hatajinyonga yeye peke yake basi anaweza kufanya family genocide!!

Wanaume we achana nao Gaijin, wanajua tu kuelekeza mkuki kwa nguruwe...no reverse direction!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC,unadhani hili ni siri?
Yoyote ambae ni mzoefu kidogo tu anaweza kuliona hili tena kwa uwazi mkubwa.
Wanawake wa JF wanahashuliwa sana na majamaa humu.

Unaweza tu kujiuliza,hivi kama mtoto anapewa chakula cha kutosha inakuaje akale kwa jirani?
Dark City ,kweli nakuambia hapo tatizo lipo.
Either chakula anachokula nyumbani hashibi
Au chakula si kizuri kama cha jirani!

Mhhhhhh,

Hili sasa itabidi tulifikishe hata kwenye ngazi za njuu...

Kwamba watoto wa JF wengi hawashibi..wanasumbuliwa na utapiamlo?

Bila truth and reconcilliaition committee, hii issue itabaki kama mzimu wa kunyonya damu ya wana JF..

Nahofia kumwita Kamanda Invisible ili aje atueleze hatua atazofanya kutuliza huu mzuka!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hayaaaaaaaaaaaaaaaaaa wote mnaopenda kuhashua na kuhashuliwa come this way.................twendeni tech and gadgets mkapate mahashuo humo. ya kisayansi, mara moja. haya Kongosho na Gaijin bila kumsahau EMT ongozeni njia................:director::director::director::director:

Ngoja nibadilishe settings zangu za DSN zinielekeze huko.

C:\WINDOWS\EMT\system32\drivers\etc\hosts\tech-gadgets-and-science-forum\

…..loading
 
Girls you're right. I think you like kuhashuliwa.

Niwape mfano mmoja

Nilienda kwenye store moja nikahudumiwa na mdada mmoja.

Akaniuliza: "You fine?"

Nikamjibu: No! (huku nikiwa very serious usoni).

Akauliza: "Why?"

Nikamjibu: "Because I hate to to be served by you whenever I come to shop in this store!"

Akashtuka kidogo kisha akauliza: "Why?"

Nikamjibu: "Because you're too pretty and I find it difficult to stand in front on you week in, week out".

Akatabasabu, nikatabasamu kisha nikachukua mzigo wangu na kuanza.

Basi nikienda kwenye hiyo store najifanya kumkwepa makusudi, au najifanya kama nimejisahau naenda kwenye teller lake, halafu nasema: "Shit! Not again" na kwenda kwa teller la mdada mwingine.

Basi anafurahi, anachekaaa. Naona ameshawaambia na wadada wengine pale, basi nao wanajifanya wako busy ili nihudumie na huyo mdada.

Ila wapo baadhi ya wadada unawahashua wao wanadhani unawatongoza.

Na waume zao wanakuja juu: Richard Gere Accused of Flirting with Married Woman - Entertainment & Stars

Sawa Mkuu EMT,

Ila usiombe kukutwa na mwenye mzigo....utakuja kugundua ghafla kuwa kumbe kitumbua na mabumunda ni vitu viwili tofauti kabisa!!

But on a serious note, nadhani utani kama huo siyo mbaya...

Kuna jamaa yangu mmoja anapenda utani na wadada hadi mtu unaweza kuhisi kuwa ni mkali wa kutisha...na wakati huo ni mwoga kwa hawa ndugu zetu hata kunguru hafai!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

Hahahahaaa! Mie wala sikompiti na mwenye mali.

Mie natengeneza connection ili siku kukiwa na sale awe ananishtua.

Pia si unajua wafanyakazi wa stores huwa wanauziwa vitu kwa bei chee?

Huo ndiyo mpango wenyewe.
 
Pamoja na kwamba tumejadili mengi sana kuhusu haya mambo ya kuhashuana, ila nadhani ni vizuri tukasaidiana kwa kuchora mstari (arbitrary and imaginary) kama inawezekana ili na sie wa 1947 tujue hasa tumesimama wapi...

Sina mashaka na mahashuo yetu ya zamani..., ila haya vijana wa dotcom inawezekana ni editions mpya kwa sababu hawa jamaa wameamua kucustomize kila kitu.

Naomba sasa mnisaidie kwa kuniwekea mambo ambayo mtu akiyafanya basi tusema na kujua kuwa huyu sasa anafanya hashuo la kileo (flirting)!!

Wapi dada mkuu Kongosho, teachers gfsonwin +@Gaijin, system analyst EMT, Komando wa AK47 King'asti, wazee wenzagu Asprin, @FP, snowhite, Mtambuzi, Blaki Womani na wajukuu wote .. Madame B, Erickb52, Preta, Mamzalendo na pacha wake Arushaone, Lily Flower (usijekusema zile habari za nyuki wa bucha)....

Twende kazi sasa....

Babu DC!!
 
babu Dc leo niko tech & gadgets swtlo wangu Kaizer kaniambaie nisiingie kabisa huku hadi msimu wa sikukuu upite kisa nisije wazibua wengine maskio wakaanza kukaba za sikukuu kwa wakaka wa jf.
 
Last edited by a moderator:
flirtingpresent participle of flirt (Verb)

Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................

Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.

Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!

So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!

Yaani hadi mapigo yangu ya moyo yameongezeka., hii kitu hiii, basi tu....!!!
 
558878_383446798402705_1019052456_n.jpg
 
Hahahahaaa! Mie wala sikompiti na mwenye mali.

Mie natengeneza connection ili siku kukiwa na sale awe ananishtua.

Pia si unajua wafanyakazi wa stores huwa wanauziwa vitu kwa bei chee?

Huo ndiyo mpango wenyewe.

Mkuu sasa wewe hilo hashuo lako limeenda mbali sana ......aisiiiiiii...........??

Una maana hata contacts za huyo dada wa Store unazo??

Umenikumbusha kitabu kimoja nilikisoma wakati wa ujana wangu, kinaitwa "How to attract and win Girls"

Mwandishi anadai kwamba kila unapokutana na msichana basi ni opportunity ambayo ukiitumia vizuri unaweza kukamata mchuma...Anadai ukikaa seat moja na mdada wakati wa safari, basi tambua kuwa huyo ni wako njia nzima hadi mfike.. Usipotumia nafasi hiyo basi ni uzembe wako...Anasema kuwa, hata kama mmekutana muda mfupi, ukiwa trouble shooter hutashindwa kuchukua hata contacts au kufuatilia ukajua anakoenda, mfano kama ni nyumbani au office!!

Nakumba hizo mbinu kuna mahali ziliwahi kunisaidia enzi za ujana wangu...lol!!

Kila la heri mkuu...just play safely!!

Babu DC!!
 
Pamoja na kwamba tumejadili mengi sana kuhusu haya mambo ya kuhashuana, ila nadhani ni vizuri tukasaidiana kwa kuchoa mstari (arbitrary and imaginary) kama inawezekana ili na sie wa 1947 tujue hasa tumesimama wapi...

Sina mashaka na mahashuo yetu ya zamani..., ila haya vijana wa dotcom inawezekana ni editions mpya kwa sababu hawa jamaa wameamua kucustomize kila kitu.

Naomba sasa mnisaidie kwa kuniwekea mambo ambayo mtu akiyafanya basi tusema na kujua kuwa huyu sasa anafanya hashuo la kileo (flirting)!!

Wapi dada mkuu Kongosho, teachers gfsonwin +@Gaijin, system analyst EMT, Komando wa AK47 King'asti, wazee wenzagu Asprin, @FP, snowhite, Mtambuzi, Blaki Womani na wajukuu wote .. Madame B, Erickb52, Preta, Mamzalendo na pacha wake Arushaone, Lily Flower (usijekusema zile habari za nyuki wa bucha)....

Twende kazi sasa....

Babu DC!!

Beeeeeee!! Babu Dark City unaniita?
 
Last edited by a moderator:
Flirtrng may lead to cheating,naomba niweke waz,among the lads ambao tulianza kuflirt kidogo kidogo,majority of then tume end up cheating nao.so hakuna kumruhusu mum sup kuflirt,because am already a victim of flirt.
 
Back
Top Bottom