Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Dr leo umeongea kitu muhimu and very relevant. Hebu chukulia situation hii, uhusiano umepungua mvuto kwa sababu mbalimbali, na mwenza hataki kuflirt na mwenzawe.
1. Lakini yuko busy tu na mambo yake mengine. Wakati mwingine hata ukitumiwa msg you are too busy kujibu, or else unajibu ok, au sawa! Ni mbaya kuwa in a boring relationship.

2. Mwenza hata akiwepo nyumbani yuko busy na mambo yake, hata kuongea hataki. Kuna mtu hana hata nafasi ya kuongea na familia, akiwepo kama hayupo.

3. Hii kina Asprin watabisha, ila unakaa na mashosti hukoo bar na umemtelekeza bibi home alone. Shukuru Mungu kama hana maujanja ya nokia asha aisee, lazma awekwe busy. Ili walau ukitokea saa sita za usiku mwenzio keshakupunguzia kazi ya maandalizi. Bila hivyo kila siku utakuta kavuta mdomo na ndo inakuwa vile tena.

Kama Kongosho, mie nikikukuta unaflirt lazma niflirt kukupiku,lol. Ila flirting is a new way of not cheating all the way. Na ukimkuta mwenza anaflirt haijustify kuachana (kama ni ndoa). Ila sasa kununa na kujidai mkali haisaidii. Kama uko interested swallow it, anza kuflirt nae ili umuweke busy. Ukitumiwa msg lunch njema darling, does it take a century kusema thanks sweetie, as compared to ok? Au poa? If you dont make your lady feel beautiful, someone else will aisee.



Naomba niongezee kidogo hapo a : A man's biggest mistake is giving another man an opportunity to make his woman smile!
 
MBONA KUMKOSEA ADABU MAMA NGINA JAMANI????? Mtambuzi ni babu yangu, namheshimu kuliko maelezo, lol! upo lakini shem wangu Kaizer?

Kwa mujibu wa mwalimu Gaijin, unaweza "kumhashua" babu pia, tatizo sio lazima kila mhashuo uhusishe hisia za mapenzi..by the way 'mababu' wa siku hizi ndo wale wale tu😱hwell:
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya sana, wadada wa JF wote (ukimwondoa chizi Kongosho na wenye vichwa kama chake) ni St. Watakatifu!

Hawapendi kusema ukweli hasa linapokuja swala la cheating. Sisi wanaume ndo tunaflirt na baadae kungonoka nao. Lakini wote wanasema wanaflirt tu, ila hawangonoki.... Sasa huwa tunangonoka na mitetea inayotumia ID zao kuflirt?

Mi huwa nakasirikaga sana asee


Jamani polepole basi mana unavyotupa za mbavu wenzio tutashindwa hata kupumua lol!
 
[/COLOR]


Naomba niongezee kidogo hapo a : A man's biggest mistake is giving another man an opportunity to make his woman smile!

Vigumu sana kuwa mwanaume pekee unayemfanya mwanamke wako a'smile'....ofisini/kazini/chuoni/shuleni/kwenye biashara/kwenye daladala etc...huko kote kuna yatakayomfanya a'smile' tofauti na yale utakayomfanyia wewe a'smile'! Kumzuia mpenzio asichekeshwe na wanaume wengine is 'absolutely' impossible!
 
guys mi hapo mmeniacha , bado sijapata maana halisi ya flirting moja kwa moja ,kwani inamaanisha nini kwa neno moja la kiswahili..???
 
babu DC, mstari wetu tunauchora kwenye maneno ya nje nje tu.

Ukiona mtu anauliza una macho yakoje, ripoti haraka kwa mod.

Ama akianza kuuliza unaingiza kiasi gani kwa siku, repoti haraka.

Ujue hata kuhashuana kuna kuhongana.
Kama like, kuku-tag na quote.

🙂 hujagundua nakuhonga sana siku hizu?

Pole sana kwa kupoteza resources zako kuhonga mtu ambaye ni obsolete!!

Kwani ambao bado wana miwashasha na bashasha zinazofaa kwa kuhashuana huwaoni Kongosho??

Niko tayari kukuazima mjukuu mmoja kwa ajili ya part time hire....


kuumbe sasa Arushaone si atakuwa anaflirt na wote humu lol!
halafu Boflo nae kwa kunihonga tag ,nilikuwa sijajua kuumbe ndo mpango mzima!

Duuuuuuuuuuuuuu...itabidi nianze kukataa likes zilizokaa kimtego mtego kama mambo yenyewe ni haya!!

hii dozi kali sana
sijui kama babu Dark City kaelewa kitu
mie mwenyewe nimeelewa nusu nusu.

Kuhashuana ni kazi ati...Babu alitimua na mpira kwapani....lol!!

he he he, mzee mwenzangu
bora tuendelee kuhashuana kizamani.



Mie sijaelewa hata kidogo.

Kuhashuana wewe na nani?

Halafu wewe ni mzee mwenzetu kuanzia lini.....

Beware...next time tuta-report abuse...then BAN itafuata!!


Hahahahaha!

Hiyo red nadhani mwalimu wangu snowhite ataisoma katikati ya mistari LOL

Kuna uandunje wa vitu vingi ujue....:glasses-nerdy:

Hapa naona unamchokoza Madame B....Si alisema kuwa kwake hakuna room hata ya kuweka sisimizi kwa akina andunje??


dat ryt lakin, mh! Matatizo ma2pu mwisho wa ck watafanya kweli. Kwangu mi ni marufuku!!

Unaogopa nini Anita Baby...

Wengine hatuogopi kitu chochote bali tulishamaliza shea zetu!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom