Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Poa sasa hicho Kidate chetu kitakuwa Blind-Date. halafu tutarudisha feedback jamvini. Uzuri ni kuwa nimeshapata viwalo.

Ila napenda kujua tu, your dream man unapenda afananiaje? Nisije jichomoza kumbe ni Andunje sana.

Hiyo kitu ya The Boss naweza kujiunga? Na Kaunga naye ni mdau?

ahahahahhahhahahhahha we nawe!
mimi The Boss na Kaunga tuna siku yetu ya delivarance na bahati mbaya muumini wetu huyu huwa hapendi sala na waumini wengine!
labda kama wataka kuingia darasani kwangu!unaweza kuwaona wafuatao Kaizer SnowBall Asprin kwa maelezo zaidi
HALAHALA!mie matao yangu yataka manju hasa!nina shetani wa kiangu mie ,fusho la kiti wangu lina masharti mengi mie!
 
Last edited by a moderator:
Haaaa haaa kuna sred hapa baba yuko concerned mtoto wake wa kiume 5 years kitu kikipanda juu asubuhi si mchezo baba anakuwa inferior maana yeye kitu yake kuna mdau alisema ni andunje! aka piritopn!

Mkuu vitu vingi vya uandunje ni vipi? nahisi snowhite yuko standard![/QUOTE Allien wajipa ugonjwa wa moyo ujue!muulize mwenzio Mr Rocky ,nina tego la hisia mie ,ukinasa hutoki hapa shaurilo! Asprin unamuona kabisa mwenzio anacheka na nyani we kimya tu!
 
Last edited by a moderator:
OMG!!!

Huyo baba atakuwa kauziwa mbuzi kibudu kwenye kiroba.

Hapo red, bado mwalimu wangu atapasoma na kukonekti dots LOL..

Swali la kizushi: Hivi kumbe wanawake nao kuna Standard na Substandard?

Mkuu kuna small (andunje), medium, standard, big, na XL au extra big. hakuna Sub-standard.

Mikato ya Kibantu unacheza na Standard na Big
 
ahahahahhahhahahhahha we nawe!
mimi The Boss na Kaunga tuna siku yetu ya delivarance na bahati mbaya muumini wetu huyu huwa hapendi sala na waumini wengine!
labda kama wataka kuingia darasani kwangu!unaweza kuwaona wafuatao Kaizer SnowBall Asprin kwa maelezo zaidi
HALAHALA!mie matao yangu yataka manju hasa!nina shetani wa kiangu mie ,fusho la kiti wangu lina masharti mengi mie!

Mmmh! Kumbe jiko wengi wanapikia. hakuna la peke yangu?
 
mie wamenifunga na chenga wamenila.

Hivi kweli umri huu natakiwa kujali kama nikiliwa?
Nshazeeka sasa nisipoitumia ndo basi tena?!

Ngoja nije nikuhashue.

Kwani kazungumzia nini?

Kama mpira, basi Kailimanjaro Stars imepigwa moja bila na Burundi.

Kutufunga wametufunga lakini chenga wamezila...:becky:
 
Mkuu kuna small (andunje), medium, standard, big, na XL au extra big. hakuna Sub-standard.

Mikato ya Kibantu unacheza na Standard na Big
Sante kwa taarifa....

Haya mwalimu snowhite ukuje pande hii utuambie we ako pande ipi.... Afu usisahau sisi ni watu wazima, watoto wameshalala.... Funguka mama!!:A S 100:
 
Last edited by a moderator:
Usalama wa jiko muhimu, nani anataka tumbo la kendesha!

na we umetokea wapi!ah usiniharibie mchuzi mie!
umeanza upolisi wako wa kuweka madoubt na walahi utakuwa unakosa mautamu kila siku na mijjiswali yako ya uchunguzi uchunguzi!
 
mie wamenifunga na chenga wamenila.

Hivi kweli umri huu natakiwa kujali kama nikiliwa?
Nshazeeka sasa nisipoitumia ndo basi tena?!

Ngoja nije nikuhashue.
Wee! Koma!!

We unihashe au tuhashuane?

Afu hili neno usilitamke pale Temeke kwa Sokota. Kuna mtaalam wa kuchoma pumb.u za mbuzi pale. Pumb.u za mbuzi pale ndo huitwa Hashua.

Be warned!!
 
Sante kwa taarifa....

Haya mwalimu snowhite ukuje pande hii utuambie we ako pande ipi.... Afu usisahau sisi ni watu wazima, watoto wameshalala.... Funguka mama!!:A S 100:
ahahahhahahhahhahahahha mie mtoto kike mbantu hasa!kwa hiyo we fill in ze blank hapo!
 
ha ha ha ha, mie huwa nakula za kitimoto

tamu hizoo

ulishawahi kula za kitimoto?

Wee! Koma!!

We unihashe au tuhashuane?

Afu hili neno usilitamke pale Temeke kwa Sokota. Kuna mtaalam wa kuchoma pumb.u za mbuzi pale. Pumb.u za mbuzi pale ndo huitwa Hashua.

Be warned!!
 
na we umetokea wapi!ah usiniharibie mchuzi mie!
umeanza upolisi wako wa kuweka madoubt na walahi utakuwa unakosa mautamu kila siku na mijjiswali yako ya uchunguzi uchunguzi!

Lazima pweza kumchokoa, utapata wapi urojo?
 
Hahahaaaaa! Flirting inamkumbusha " IF YOU DONT WANT IT NO MORE, SOME ELSE CANT WAIT TO GET HIS FINGERS ON IT, YOU BETTER WATCH OUT"

Ujue flirting inasaidia to jog his memory kidogo kuwa "May you havent noticed but that babe next to you is BAD NEWS! And we want that piece of candy too, n we want it bad!" Lazima upokee treatment like a Queen you are!

Pia inakupa comfidence kuwa you are still hot on the game! Hata akikuzingua bado una chance za kusurvive! You are not totally and completly finished yet!

dat ryt lakin, mh! Matatizo ma2pu mwisho wa ck watafanya kweli. Kwangu mi ni marufuku!!
 
Baadhi yao huwa wanafanya kwa sababu wazijuazo wenyewe, wengine ni wajinga, ukibamba jst stay calm and life goes on!
 
Wee! Koma!!

We unihashe au tuhashuane?

Afu hili neno usilitamke pale Temeke kwa Sokota. Kuna mtaalam wa kuchoma pumb.u za mbuzi pale. Pumb.u za mbuzi pale ndo huitwa Hashua.

Be warned!!

ha ha haaaaaaaaaaaa, JF raha starehe tupu!
 
Back
Top Bottom