Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Kwa mujibu wa mwalimu Gaijin, unaweza "kumhashua" babu pia, tatizo sio lazima kila mhashuo uhusishe hisia za mapenzi..by the way 'mababu' wa siku hizi ndo wale wale tu😱hwell:

Eti nini mzee was Sweet Redds?

Please...kimbia haraka, nakuitia Baba Paroko akupatie penetensia!!

Babu DC!!
 
He he he, nataka ku-practice na Babu Dark City

Nimekupa LIKE Kongosho ila siyo hongo....

Kwa taarifa yako, Babu hawezi tena kuingia kwenye celibacy na pia flirting zenu haziwezi...

Umeona dozi ya kuhashuana na bibi anayopata.....24hrs non-stop...

Ila ni complete menu...sala na sakramenti!!

Kama unabisha, angali post ya Babu ya mwisho jana ilikuwa saa ngapi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kumwambia ni sawa na kuhanikiza, lakini kama hajui kutamalaki kuhanikiza kunaweza kukawa tatizo zaidi.

I think "kushika hatamu" will have to do

CC EMT

Wewe ni teacher wa kweli Gaijin,

Unanikumbusha teacher wetu wa kemia ambaye alikuwa anajiita mobile Lab!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Duh hapo kweli kaz hpo....lakn inategemea na age...18 mpaka 30...haiepukk
 
He he he, babu kwa mkwara hujambo

Ila kwa leo ngoja nikuhashukie na zawadi ya ua :A S-rose:

Week ijajo nitakutumia elfu tano kwa zap ununue samaki:flock:

Nimekupa LIKE Kongosho ila siyo hongo....

Kwa taarifa yako, Babu hawezi tena kuingia kwenye celibacy na pia flirting zenu haziwezi...

Umeona dozi ya kuhashuana na bibi anayopata.....24hrs non-stop...

Ila ni complete menu...sala na sakramenti!!

Kama unabisha, angali post ya Babu ya mwisho jana ilikuwa saa ngapi!!

Babu DC!!
 
Eti nini mzee was Sweet Redds?

Please...kimbia haraka, nakuitia Baba Paroko akupatie penetensia!!

Babu DC!!

Hahaha Mzee mwenzangu Dark City hiyo 'hypothesis' haiajakanushwa bado.. Gaijin katuambia hivyo, sasa ndo nilikuwa tu namtahadharisha cacico asilete janja ya nyani kula indi bichi....

watch out na Kongosho....you are not safe...halafu ujue timbwili lake na ODM Asprin litakuwa zito sana...
 
Last edited by a moderator:
Umeona heee

Babu anakataa lakini kafurahiaa, anacheka mapengo yote yako nje, karibu vimate vitaanza kumtoka kwa uzee
Babu yuko safe, nitamlinda mwenyewe, hao nwengine wote itabidi wapishe

Chezeiya mahashuo ya babu na mjukuu wewe

Sasa wewe unataka kumudhi Babu.....kwani Babu naye ni mtata siku hizi?
 
toooop!
 
nampotezea kwan ukimfutilia mwanamke kwa kina huwezi kuishi naye kwani itakuwa ugomvi kila siku hata biblia inasema kuwe nayo kwa makini wanajaribika kirahisi.
 
flirtingpresent participle of flirt (Verb)

Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................

Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.

Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!

So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!

Unajua ku-flirt ndio njia rahisi ya kum-drive mtu kule unakota muende i.e. ni kama vile gari unaanza gia namba moja, then mbili, tatu.....n.k. Sometimes kumuingia mtu ki-kichwa-kichwa ni ngumu inabidi upime upepo au utingishe kibiriti kuona kimejaa au vipi! Sasa matokeo ya ku-flirt huwa hayachelewi sana either ule kale 'ka-mkate' au urudi ground zero kwenye kuheshimiana au mnuniane. Nakumbuka kitambo wakati napiga dei waka ya kuosha magari kuna sister niliosha gari yake, then akaniambia nikupe buku tatu au shika t.a.k.o hela yako iishe! Kiukweli, ilibidi nisamehe hiyo buku tatu nishike t.a.k.o tu!
 
Hahaha Mzee mwenzangu Dark City hiyo 'hypothesis' haiajakanushwa bado.. Gaijin katuambia hivyo, sasa ndo nilikuwa tu namtahadharisha cacico asilete janja ya nyani kula indi bichi....

watch out na Kongosho....you are not safe...halafu ujue timbwili lake na ODM Asprin litakuwa zito sana...
Hommie, nashukuru sana kwa kujali maslahi yangu.

Ila kwa Kongosho sina wivu kiviiile, nshamfumania mara kadhaa na kumwacha siwezi. Ndo nshalogwa vile.....
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Mzee mwenzangu Dark City hiyo 'hypothesis' haiajakanushwa bado.. Gaijin katuambia hivyo, sasa ndo nilikuwa tu namtahadharisha cacico asilete janja ya nyani kula indi bichi....

watch out na Kongosho....you are not safe...halafu ujue timbwili lake na ODM Asprin litakuwa zito sana...
😛eace::israel:

Sasa wewe unataka kumudhi Babu.....kwani Babu naye ni mtata siku hizi?
:bump:

Umeona heee

Babu anakataa lakini kafurahiaa, anacheka mapengo yote yako nje, karibu vimate vitaanza kumtoka kwa uzee
Babu yuko safe, nitamlinda mwenyewe, hao nwengine wote itabidi wapishe

Chezeiya mahashuo ya babu na mjukuu wewe
:A S thumbs_up::clap2:

:amen::closed_2::focus:
 
Kaizer, Babu @Bark City na Asprin, mnahitaji maombi kwa kweli
Nimecheka hadi machozi lol

Siku hizi unafanya kazi ya kubatiza watu??

Najua tu haoa unatafuta like ya Babu.....

Umepata ile ujue ni like tu...nothing more...

Na likes zako zote zimefika ila hazitoshi kukupa uraia wa taifa la Babu !!!!

Babu DC!!
 
Kaizer, Babu @Bark City na Asprin, mnahitaji maombi kwa kweli
Nimecheka hadi machozi lol
Na huyo hapo kwa red ni member wa JF?

Nimeamini alivyoniambia babu yangu Mtaveta(RIP) kuwa mwanamke anapokuwa na hamu ya cha asubuhi afu akanyimwa kwa makusudi vidole vyake vinatetemeka na kukosea njia kwenye mambo serious.

Pole sana Kongosho.

CC: Kaizer
BCC: Dark City

Source: Kaizer
 
Back
Top Bottom