Unaonekana ni mwenye upendo hata kwa walioonyesha uadui kwako, ulidiliki kumpigia simu ndugu yako kumsihi juu ya mwenendo wake usio mwema kwa jamii, akakusikia na kukujibu kwa dharau, akaendelea kufanya atakalo kwa sababu yeye ni kipenzi cha Baba.......sasa yanampata. endelea kumwombea. neema za Mungu zimpate, na aweze kutubu na kutumika kwa kusudi zuri la Allah. Amina!

Uliwahi sema umeona kwenye maono ndotoni ya kuwa baba akiendelea kuwa na kiburi atatutoka ghafla..... sisemi.....tumwombee Sabaya awe kiumbe kipya ....kama SAULI alivyowatesa watu Mungu na kuwafunga lakini akaja kutubu na Mungu kumtumia kwa ufanisi katika ufalme wake hapa duniani na hivyo ikawe kwa Sabaya
 
Lema anaonekana kama mtu flani wa kupuuzwa lakini mambo yake ukiyatafakari ni mazito sana.

Kwakuwa ni mpinzani aliongea akaonekana hajielewi labda anaona wivu wenzie kula keki n.k
Utabiri wake umetimia
Salute kwako Lema umetisha kuanzia utabiri wa Mzee baba
 
Back
Top Bottom