Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Kuna wakati mpira wa kona unaweza ukakugonga tumboni bahati mbaya halafu likawa goli. Unataka nisishangilie??? ebooo
 
Nawewe mume wa mtu unaanzaje kumtongoza mke watu huku ukijua ameolewa???
Nilitaka nikupruv wrong ,swala hapo sio wanaume ,ni issue ya watu wote wawil.na sio kama unavyodai wewe...kila mtu atimize wajibu wake.
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Ukisema hivyo basi hata wew unapotoka nyumbani kwako na kumwacha mumeo nyumbani huko uendako huna sabb ya kujiremba,,

Unajiremba ili iweje unataka nani akupende zaidi huko uendako wakati mumeo umemwacha nyumbani?

Hebu acha kujipodoa na nakshi zingine mwilini mwako uone kama kuna mwanaume atatamani akuvue hz nguo zako,,

Mnavuliwa nguo zenu kwa kujipodoa kwenu watu wanashindwa kuwavumilia ndipo wanauvaa wendawazimu na kujikuta wanawavua nguo zenu kwa hiyari yenu wenyewe.
 
Wanawake na wenyew washakosa haya kabsa hawajui nn maana ya uchi wao sabbu kama wangejua thamani yake na utu wake upo hko kwenye uchi wasingewavulia hao wanaume (baadhi yao)
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
tena hawa waliolewa na vibabu kisa hela ndo vinaongoza kwa kutongoza vyenyewe na chupi vinavua vyenyewe na pesa vinatoa vyenyewe subir ukikojoze sasa kitakuganda hatar
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni

Lkn hy mmke hjavuliwa bali kajivua mwenyeo kwn na yy hajijui km ni mke wa mtu mda mwengine wke ndo tuna matatizo
 
Back
Top Bottom