Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke

yaani kama kuna eneo silielewagi ni hapa.hata kama ni girlfriend tu ila uko kwenye mahusiano strong inakuaje unatoa tu namba yaani!??tena mwingine kwa a complete stranger...na lengo unakua unalijua kabisa hii guyz inataka kutongoza.sasa sijui unakua unapenda kutongozwaaaaa,unataka kusikia mitongozo mipyaaaaa au ni uchangudoa wa asili tu wa mtuuu!?
jiheshimuni sisterz.....u not into a guy na unajua nia yake why give him your number!??ni kumkosea heshima umpendae na wewe mwenyewe
btw...nimezungumza kwa upande wa wake na wapenzi wa kike tu wa watu.
 
mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
PROBOLEME iko pale kwa fundi wako uliemchagua kwamba huyu ndo aweza sugua kipele changu.. kumbe uchaguzi wako umekwenda vibaya..
sasa unaingiza kichwani habari ya kutafuta kisugulio kitakacho kusugua ukasugulika hapo ndo shida inapoanzia
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Vip na wale wake za watu wanaotutongoza? Maana me kuna mke wa mtu ananisumbua kila siku ananilazimisha nikamgegede, sababu ananiambia hawajafunga ndoa wanaishi nae tu, nifanyaje hapo Dada angu?
 
Kuna Dada alitaka mwenyewe mm cjaoa kajiweka karibu mwisho wa siku akaanxa kupiga deki geton .alikuwa ana Mme .akaliwa
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Duh!!! Monicca... umemaliza...... this is quite fact. Anayeweza kubishana na huu ukweli itabidi ajiangalie mara saba saba... kwa kweli linapokuja suala la ngono sijui wanaume hapa wameumbwaje..? kutekwa kirahisi kabisa. Na kama unataka hata mwanaume akutunze kwa kwa kila kitu huhitaji hata kumuomba hela maana kwa ngono tu "siku hizi wanaita mapenzi au penzi au mahama" .... ukimpa mapenzi ya dhati na maneno matamu kila saa kila siku AISEE HATA KAMA HANA PESA ATAENDA KUKOPA AKUPATIE... sijui akili za wanaume zimeumbwaje hapa kwa kweli... MUME HAMTUNZI MKE WAKE LAKINI YULE WA NJE WEE ANAMJALI KULIKO MKE WAKE KWA PESA, KWA CHUPI NA KWA KILA HITAJI.... DAH!!! NGONO!! wanawake shikamoo...
 
Hivi niulize wakuu, kwani anayetongoza na anayetongozwa yupi ana makosa!
 
Hakuna mwanaume anaeweza kumtongoza mke wa mwanaume mwenzie ila wanawake wanajitongozesha wenyewe, mfano wewe uliepost huu uzi hebu rudi kwenye profile pictur yako hayo maziwa tayari unajitongozesha
Hata wewe hapa Maelezo yako yame base kwa men kitu ambacho si kweli
 
Sasa mke wa mtu anakujaje na kunishawishi nimvue nguo...sio kila mke wa mtu tunamsumbua wengi wanatusumbua wao
 
Kwa kadri siku ziendavyo na vituko maajabu vinashamiri zaid
 
Mimi siwavuagi nguo nasogeza tu chupi nawekaaaaaaaaaaaaaaaaa......
 
Sio wanawake woote walioolewa wanasifa za kuwa mke wa mtu wangine walienda tuu kwa jamaa kwa ajili ya kulamba pesa aliyonayo.
Hivyo saa zingine ukimvua chupi mwanamke anaesemekana ni mke wa mtu ni sawa kabisaa. Ukitaka kubaini we mkoleze tuu atakwambia aaahhh me pale niliolewaga tuu kwa basi ila simpendi kabisaa.
So wengine gegedeni tuu wakuu
 
Back
Top Bottom