mgweno kasure
Senior Member
- Aug 20, 2016
- 141
- 45
Niko pamoja na we wemke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Niko pamoja na we wemke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Samahan dada monicca cjui kama unaelewa kuwa hilo ni jambo la hiari otherwise useme amebakwa ok ntazungumzia upande wa hiari na co kubakwa mwanaume katoa mapendekezo (proposal) na ww unayejijua kuwa ni mke wa mtu kwa hiari yko unayapokea mapendekezo na kuyafanyia kazi na kuona ni vizri hatimaye mnakamilisha zoezi kama ulivyo ombwa mwnyewe ukijijua ni mke wa mtu tena sri kubwa huyu mwnamme unampa ratiba iliyo nzuri kwa usalama wako na yye pia je nani mwenye makosa hapo? Na pengine nakutongoza posipo kujua ww ni mke wa mtu nmadumu kwnye mahusiano hata mwka pasipo hata kukuambia unashtuka tu tayari mmekolea kwnye game na kingine elewa kuwa mwnamke anaweza kuolewa na mtu asiye mpnda may be she is running out of time financial interest so love satisfaction is non of the above haya mambo yapo na yataendelea kuwepo you can not fight against natureWanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Na nyie muwe ngangari,Kwa nini umukubalie wakati unaona kabisa ana pete mkononi? Anayetongoza Na anayetongozwa ikafikia mumeafikiana basi wote ni wakulaumiwa tu[emoji42]Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.
Honestly speaking nishafuatwa na wake za watu wa 2 mmoja tanga na mmoja Singida ila nikapotezea I know why they go crazy for me so we kaa kuponda eti maneno Wanawake wakitutongoza huwa tunakausha tuuHayo ni maneno tu huna lolote
Na huyo mke wa mtu anaanzaje kuvua nguo? Akili zake anakuwa amemuachia Monicca au?Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Nasikitika kusema moniccca uko mbimlnafsi. Njoo uone points za wadau asiokua na chembe za ubinafsi.mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Hauvuliwi kwa nguvu ila utavua mwenyewe.Hakuna anaeweza kunivua kwa nguvu mkuu hapa nimeshare kinachonikera
ahahahaa ngoja nisubili jibu na mimiUmevuliwa Kwa nguvu mkuu,mbona hasira ivo
Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.