Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
 
Mm binafsi sijawahi kutongoza mke wa mtu ila kuna mdada nilitembea nae nkaja kugundua kumbe ana mume na mahusiano ndio yaliisha hapohapo


Tatizo wanawake ambao waume zao wapo mbali wanakuwa wapweke sana na kujiingiza katika mahusiano
 
Halafu mke wa mtu hachafuliwi kwa kabao kamoja @monnnica ingekuwa hivyo kusingekuwa na haja ya kuchepuka!
 
Back
Top Bottom