Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Kama mke wako alikuwa na boyfriend chuo nakuhakikishia wakikutana lazma amgegede tu.
Tena na haya makundi ya watsup ya chuo na shule ndio anatafunwa kiulainiii
Umeona ee kaka..
Ndio mana nasema hawa wakikutana yan hatabhawatahis wanafanya kosa.Kila mmoja atajiona ni halali ya mwenzie labda mpaka wafumaniwe.
Haya mambo ya ndoa ni complivated sana ku deal nayo
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
Niliwahi kuandika makala kuhusu mwanamke afaaye kuwa mke na mwanamume afaaye kuwa mume. Si kila mwanamume ni mume na mwanamke ni mke. Mwanamume anayeoa mwanamke ambaye amekuwa na maboyfriend kabla atarajie kugongewa tu, kawaida ni kama mazoea. Kama jamaa walishamvua chupi kabla hujamuoa ana nini cha kuwaficha? Je, ni pete ya ndoa?

Hicho kishimo kimekusudiwa kwa mume wa ndoa, ukikitoa kwa wengine maana yake umejifunua utupu wako mbele yao, wameshiriko siri zako za chumbani, na sio chumbani tu, wameingia mpaka kwenye nafsi yako, hakuna siri tena. Mwanamume anayeoa mwanamke wa namna hii awe tayari kusamehe mara kwa mara. Wazee hawakuwa wajinga wwlipotaka watu waoe bikra
 
Back
Top Bottom