[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji23] yaani we una vitukoooo
Umenikumbusha mbali kweli!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bonyy..staki bwana..
acha ujinga...!!weweee...
Tema mate chini mkuu.. Sasa ni hali mbaya sana wanawake wanashindana na wanaume kuchepuka.Dah inaumiza ila kwasasa wanawake wengi wanajielewa nawanaheshimu ndoa zao. Wapo wachache wanaofanya huo uchafu
SwadaktaHapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.
Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?
Ijazie hizo nyama thread yako.
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Nimekupenda bure mpenzmke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Wote ndio hao hao na ukiona hivyo ujue dongo limempata....Monicca kwa nini unatukana mamba ilihali hado hujavuka mto?!!! Rejea uzi wako huu
Natoa offer kwa mwanaume aliyetayari kwenda kwenye fiesta Leo