Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Haya kama hizo nyeti zake zitakuwa ni halali yakoKwani jela ilijengwa kwaajili ya wanyama?
Haya kama hizo nyeti zake zitakuwa ni halali yakoKwani jela ilijengwa kwaajili ya wanyama?
Ila wanawake ni dhaifu sana kwa kweli kama wanaume watabadirika basi hata wao watabadirika ingawa kuna wachache wanamisamo sana.Ndio mnaanzaga hv hv mwishoe unaishia kumtindua.... bila yy kujua pamoja na majibu yake mazuri hapa....ndio hapo utajua wanawake wanachoongea na wanachotenda ni vitu viwili tofauti..viumbe vya ajabu hivi mkuu
Huyu atakuwa ameti.wa huyu hata mimi nimeshtukia diliPole Sana kwa kutoka nje ya ndoa na baadae kujilaum
Kabla ya yote jiulize kwanza wewe umeshamegwa na wanaume wangapi mpaka muda unaondika hii thread...???Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
una busara sana...... sie tuliumbwa kwanza.........wanawake tuliumbiwa sisi........Lakin sisi wanaume ndiyo chanzo cha yote mkuu
usitake niwe mcochezi ila ukweli unaujua...Ni ibada ya Mungu gani na kwa dini ipi mkuu?
Njoo mtongoze mke wangu alafu nikuone ndio utajua mke wangu ni tofauti na wanawake wengine....labda nisikuoneMke wa MTU ndio nani? Mke wa MTU ni mwanamke kama wanawake wengine
Kumbe mnalijua Hilo ,Kumbe inapokuja issue ya 50/50 huwa mnajitoa ufahamu tu. OK [emoji41]Mwanamke siku zote ni dhaifu mbele ya mwanaume
Mkuu unaweza kupenda jiniNdio maana nakupenda
Wanalijua sana ni ujeuri wao tuKumbe mnalijua Hilo ,Kumbe inapokuja issue ya 50/50 huwa mnajitoa ufahamu tu. OK [emoji41]
LABDA NAMI NIKUULIZE NA WEWE ULIKUWA UNASIKILIZA NINI HADI UFIKIE HATUA YA WEWE MKE WA MTU KUVULIWA CHUPI NA MWANAUME MWINGINE?!!!! ULISHINDWA NINI KUMPIGA STOP KWA KUMUONYESHA RED CARD MARA MOJA!!!!???? Wanawake ndo wenye kulaumiwa hapa,Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Hawa viumbe shida sanaWanalijua sana ni ujeuri wao tu
.Mkuu hayo ni mawazo yako, hivyo kinavyo someka kichwa cha hbr ndivyo nilivyokusudia
Huyo atakua amependa mwenyewe so hamna shida. U move on.Ulishawahi kuwaza siku ukute mkeo amemchanulia mwanaume mwenzio?