Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Nawewe mke wa mtu unaanzaje kumkubalia mwingine ilihali unajua ww ni mke wa mtu.
 
Huu uzi umekaa kiupendeleo...embu na mke wa mtu pia aulizwe shida ni nini hadi amkubalie mtu mwingine Wakati ameolewa?au ndo kujikuta tuu?
 
Monicca ndo maana tunasema bora ungekua balanced. Ww umeamua tu kutushambulia wanaume kuwa ndo chanzo chanushawishi. Baadhibhapa wamekataa kuwa nyie wake za watu ndo mnajigongesha kwetu bse ww tayari unayo huduma ndani iweje ukubali huduma ya nje?
Je ikiwa wanaume ndo wanaanzisha ushawishi je unataka kutuaminisha kuwa nyie wanawake ni mapoyoyo kwamba japo una ndoa nikikutokea tu lazima unipe??

Maana ww unajifanya hujui uhalisia wa tatizo lilivyo. Mm kuna jamaa yangu akimdate mke wa mtu huwezi amini. Yule mama alikua anamuita jamaa nyumbani kwake mumewe akitoka kwenda kazini wanafanya mapenzi juu yankitanda chao cha ndoa na jamaa akimaliza anaoga bafu lao la masterbedroom huyo ni mwanamke. Ss na mambo kama hayo utamlaumu mwanaume siyo? Na kesi kama hizo zipo nyingi tu.
Kimsingi nyie wanawake sikuhizi mna mioyo migumu kuliko volcano iliyopoa
 
Kwani mapenzi c no makubaliano Monica? Kwani mbona wewe unavaa chupi za mitumba na mpya zipo c umependa mtumba ukaingia makubaliano na muuzaji ukapewa ndivyo ilivyo kwa mke wa MTU yeye ni mtumba boy kapenda katupia BT kuna mitumba feki na origin ukitupia mtumba feki baada ya kupizi utajilaumu BT kwa original kiroho safi life is go zone.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Mmoja alinitongoza Huyo mke wa mtu akaniambia mumewe amuhudumii kwa mahitaji ivo anaomba nimpe pumziko,kwa Bahati nzuri amenizalia katoto ka kike kapo shule kanatumia jina la jamaa
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
Huyu mleta mada hajatulia kabisa au labda hana uelewa wa hatua za mpaka kufanya hilo tendo.
Kwa taarifa yako Monicca ingekua wake za watu wanabakwa hapo tungesema labda wanaume wanamakosa. Sasa ni hivi wake za watu ndio watongozaji wakubwa siku hizi. Atajileta mpaka na hotel atalipia. Na atavua nguo bila kuvuliwa na atasema mapungufu yote ya mumewe.
Nadhani bora ukae vikao na wenzio huko badala ya kulaumu wanaume. Mtavuliwa makufuli sana tu!
 
Mmoja alinitongoza Huyo mke wa mtu akaniambia mumewe amuhudumii kwa mahitaji ivo anaomba nimpe pumziko,kwa Bahati nzuri amenizalia katoto ka kike kapo shule kanatumia jina la jamaa
Kitanda hakizai haramu, usikute hata wewe baba yako alibambikwa tu wala si mtoto wake, utaishia kusema tu huyo ni mwanangu lkn huwezi kuthubutu kumchukua mbaya zaid mtoto mwenye hakutambui
 
Monicca ndo maana tunasema bora ungekua balanced. Ww umeamua tu kutushambulia wanaume kuwa ndo chanzo chanushawishi. Baadhibhapa wamekataa kuwa nyie wake za watu ndo mnajigongesha kwetu bse ww tayari unayo huduma ndani iweje ukubali huduma ya nje?
Je ikiwa wanaume ndo wanaanzisha ushawishi je unataka kutuaminisha kuwa nyie wanawake ni mapoyoyo kwamba japo una ndoa nikikutokea tu lazima unipe??

Maana ww unajifanya hujui uhalisia wa tatizo lilivyo. Mm kuna jamaa yangu akimdate mke wa mtu huwezi amini. Yule mama alikua anamuita jamaa nyumbani kwake mumewe akitoka kwenda kazini wanafanya mapenzi juu yankitanda chao cha ndoa na jamaa akimaliza anaoga bafu lao la masterbedroom huyo ni mwanamke. Ss na mambo kama hayo utamlaumu mwanaume siyo? Na kesi kama hizo zipo nyingi tu.
Kimsingi nyie wanawake sikuhizi mna mioyo migumu kuliko volcano iliyopoa
Nimeipenda hiyo[emoji7] [emoji7]
 
Ikiwa mwanamke anajua yeye ameolewa kwa nini akubali kuvuliwa chupi na mwanaume ambaye siyo mumewe...

Kwa sababu pale hajaenda kubakwa ameenda kwa ridhaa yake na tamaa zake mwenyewe...
Kweli mkuu kunywa juice ntalipa,,Mimi niulize mahakamani au kwa mwenyekiti wa mtaa je ni wanawake wangapi wamelalamika kwa kuvulishwa chupi
 
Wanawake ndo wanashawishika kirahisi. Kiasilia wanaume ashki zao ziko karibu, hivyo mwanamke ndo anatakuwa kuwa makini zaidi
 
Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.
lakini pia kati ya wanawake wanaokubali fasta..ni wake za watu wenye Pete zao kwanza hivo visivyoolewa ni ghari sana Mara kodi ya nyumbani na blabla nyingine. ni bora tushindue shindu zenye wahudumiaji.
 
Dah kaugonjwa ka kuwavua wake za watu kananitesa sana yaan naugua Mara kwa mara
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.

Sina cha kuongezea
 
Back
Top Bottom