Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Mkuu usitukane sana maana usilolijua ni sawa na usiku wa giza....
 
Hapa mshenzi ni mwamke tena hafai tuna amini kwamba mwanamke ndo kioo cha jamii akijistiri vizuri hakuna baya ambalo litatokea ila akikaa kimitego lazima aliwe kwahiyo hili swala "WANALIPENDAGA"
 
mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Yaaani wewe dada mungu akupe heshima zaidi nimekufatilia sana uchangiaji wako ni wabusara sana na kujenga!!! Na kukubali sana mama mwenye nyumba
 
Asante Dada kwa kuona tatizo ila kosa hapa haliko kwa mwanaume anaekuomba namba na kukutongoza labda kama anajua wewe ni mke Wa Fulani .

Pia Mara zote wewe uliyekula kiapo cha kulinda ndoa ndiye unapaswa kuwa makini na hilo suala wala sio huyo mwanaume unayemlaumu hapa labda kama na yeye ana ndoa yake huko.
Kuna wanaume ni ving'ang'anizi mummy hasikii hawaelewi
 
Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.
Na wanaoongoza kukubali hovyo ni wake za watu... REJEA DNA 49% YA WANAUME WANALEA WATOTO SIYO WAO
 
Raha ya UZINZI mwanaume amvue nguo mwanamke hayo mengine ni Hisia zenu.. Acheni Tulane buana
 
"Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi" inakuaje non interrupted anakubal kuvuliwa nguo na interrupted??? Haya ni maajabu.
"Inapokuja suala na tamaa ya ngono", mwanamke anakubali kuvuliwa nguo na kuliwa na asie mumewe af bado anabak kutokuemo miongon mwa wenye tamaa za ngono, haya pia ni maajabu.
 
Yaaani wewe dada mungu akupe heshima zaidi nimekufatilia sana uchangiaji wako ni wabusara sana na kujenga!!! Na kukubali sana mama mwenye nyumba
Nimekukubali, wake za watu wangeacha kutawanya miguu yao kwa wanaume wengine hii thread isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom