Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Savannah light kwako plz au ni dompo waiter hii bill ije kwangu.
Mke wa mtu anajijua umelipiwa mahari na pete mbili kwenye vidole i.e engagement ring na ya ndoa unakubalije kuchepuka na kutoa papuchi kwa mtu mwingine aisee?
Yaani unapewa mtongozo wa kiutu uzima hadi unaingia box na kusahau kama wewe ni mke wa mtu, unajipeleka kama fala unatoa mchezo tena una~enjoy balaa na dudu unalikatikia zaidi ya unavyo mkatikia mumeo alafu unasema mara oooh wanaume sijui blah blah
KAMA WAJUA NI MKE WA MTU UKIPEWA MTONGOZO KATAAA TENA KATAA KWA NGUVU ZOTE. SAY NO & MEAN YOUR WORDS. Ukifanya hivyo nani atakuvua nguo kihasara hasara...!?
 
mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
[emoji124] [emoji124] huwa nakupendaga Sana tu..
Lazima utakuwa Mwalimu wa Literature wewe...
 
Huyo aliokutongoza umeshindwa mkatalia..
 
Hii thread imekaa kiupendeleo. Haiko poa. Unaposema kumvua nguo mke wa mtu, upande mwingine ungesema unamvuliaje nguo mume wa mtu.
 
Kuna mdada mmoja hapa job namuona ananiletea mambo kbs...asbh anakuja na kitafunwa kaniletea kila siku mara usiku msg story kibao,w/end mara aulize leo wapi sijui nn


Mungu atanilinda kwa haya majaribu lkn
Mi nakulike tu kwa coment zako usije sema na mm na like like haaaahaaa..
 
Kuna mdada mmoja hapa job namuona ananiletea mambo kbs...asbh anakuja na kitafunwa kaniletea kila siku mara usiku msg story kibao,w/end mara aulize leo wapi sijui nn


Mungu atanilinda kwa haya majaribu lkn
Kamatia fursa hiyo jamaa acha kumbwela!
 
1. namtongoza
2.ananizungusha
3.ananikubalia
4.ananipa mashart ya kumtafuta
5.napanga miadi nae ya kumnjuja
6.anahairisha siku ya kwanza
7.napandwa hasira kwa kunidanganya
8.anaomba msamha
9.anakuja geto kunsalimia hotelina anaogopa
10.naaanza kumvua nguo
11.anasema tufanya haraka muda umeenda
12.namvua nguo na kumnjunja
13.anaondoka
14.anaanogewa anakuja tena na tena
15. anaanza pozi kwa mumewe
16. anafumwa msg anantaja
17.mumewe ananachimba mikwara nimuache mkewe


.................. dah process kubwa kidogo ntakuja kumalizia
 
[emoji23] [emoji120] yy hapo anazungumzia mke wa mtu na Mme wa mtu ...!!!

Ata kama ni hivyo,mwanamke akijiheshimu na kuweka mipaka amna mtu atakaemsumbua au kumfata. Sasa unakuta mwanamke leo unamshika mkono anatulia,kesho yake unamshika bega anatulia,unamshika kiuno anatulia. Unafikiri ni nini kitaendelea hapo? Hayo mambo yanatokea sana maofisini.
 
Hujawaza upande wa pili ,mwanamke anakipeleka nje... Kajitoa akili kuwa Kuna Kidume kalipia hela(mahali) hyo papuchi..
Na kujitangaza hadharani kuwa anaithamini papuchi yako imzalie wana wa damu yake
Na anakupeleka kanisani akaibariki.
Bado Unaenda kumpelekea mtu guest
 
Back
Top Bottom