Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

nalijua,nafahamu ninachoongea100%

hakuna utetezi kwenye hiloo...!!

asiyeolewa ntamuelewa mana anakua kwenye scramble for...
Usijiamin sana kwenye ilo mkuu... Hatuwezi kuweka mambo hadharani. Mkuu mengine ukiekezwa utakimbia mwenyewe
 
1. namtongoza
2.ananizungusha
3.ananikubalia
4.ananipa mashart ya kumtafuta
5.napanga miadi nae ya kumnjuja
6.anahairisha siku ya kwanza
7.napandwa hasira kwa kunidanganya
8.anaomba msamha
9.anakuja geto kunsalimia hotelina anaogopa
10.naaanza kumvua nguo
11.anasema tufanya haraka muda umeenda
12.namvua nguo na kumnjunja
13.anaondoka
14.anaanogewa anakuja tena na tena
15. anaanza pozi kwa mumewe
16. anafumwa msg anantaja
17.mumewe ananachimba mikwara nimuache mkewe


.................. dah process kubwa kidogo ntakuja kumalizia
Ukirudi unistue nimalizie utakapoishia...
 
Kuna mdada mmoja hapa job namuona ananiletea mambo kbs...asbh anakuja na kitafunwa kaniletea kila siku mara usiku msg story kibao,w/end mara aulize leo wapi sijui nn


Mungu atanilinda kwa haya majaribu lkn
Aiseeee........, zaaaali la mentaaaaaliiiii limetokea wakati mi nanjaaaaaa........
 
Ata kama ni hivyo,mwanamke akijiheshimu na kuweka mipaka amna mtu atakaemsumbua au kumfata. Sasa unakuta mwanamke leo unamshika mkono anatulia,kesho yake unamshika bega anatulia,unamshika kiuno anatulia. Unafikiri ni nini kitaendelea hapo? Hayo mambo yanatokea sana maofisini.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kweli inauma sana, Wakati mwingine unafikiri uue mtu, ila hekima na busara hasa ubinadamu zinazidi.
 
mwanamke ndo wa kujitunza

asili ya mwanaume ni kuchovya chovya mda wote...!!

hvyo mke wa mtu ndo wa kutunza heshima sana tu

waswahili wanasema'umalaya wa mwanaume ni sifa wa mwanamke ni kashfa'
Ndoa na iheshimiwe na watu wote'
hakuna mwenye uhalali wa kuzini ...si mwanaume au mwamke wote waziheshim ndoa zao.
 
mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...

kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!

mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
mama unachokunywa agiza mara mbili na kuku mzima nakuja kulipa
 
1. namtongoza
2.ananizungusha
3.ananikubalia
4.ananipa mashart ya kumtafuta
5.napanga miadi nae ya kumnjuja
6.anahairisha siku ya kwanza
7.napandwa hasira kwa kunidanganya
8.anaomba msamha
9.anakuja geto kunsalimia hotelina anaogopa
10.naaanza kumvua nguo
11.anasema tufanya haraka muda umeenda
12.namvua nguo na kumnjunja
13.anaondoka
14.anaanogewa anakuja tena na tena
15. anaanza pozi kwa mumewe
16. anafumwa msg anantaja
17.mumewe ananachimba mikwara nimuache mkewe


.................. dah process kubwa kidogo ntakuja kumalizia
nyoooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] lionee
 
Mke wa tu hawezi kuvuliwa nguo na asiye kuwa mume wake. Labda kama unamzungumzia malaya aishie na mwanamume
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Umeongea kwa jazba sana kama ulivuliwa chupi halafu ukaachika.
 
Usijiamin sana kwenye ilo mkuu... Hatuwezi kuweka mambo hadharani. Mkuu mengine ukiekezwa utakimbia mwenyewe
ukiona nimefanya ujue nimetaka kwa ridhaa yangu

ila daahh!!mtihani kweli!
 
Back
Top Bottom