Monicca hujakuwa bado. Ngoja kwanza umri uende kidogo hutakuja kuuliza tena swali hili.
Nikupe mfano, nilimtongoza dada mmoja akakubali baada ya week 3 nikala mzigo. Nikala tena na tena na tena. Mpaka ikawa tabia yetu ya kawaida na mimba nikampachika. Simu anapokea na kujibu message muda wowote ninaomtafuta. Ghetto kwangu alikua anakuja. Akanitambulisha kwa dada zake wawili wa kuzaliwa nao. Alichoniambia tu ni kuwa ana mtoto 1. Na aliolewa ndoa ikavunjika.
Siku 1 tukiwa tunapata nyamachoma tukiwa na dada yake, nilisikia akimwita "mama fulani" jina tofauti na la yule mtoto ninayemjua mimi. Moyo ukashtuka lakini nikavunga na wao wala hawakushtuka kama wameshaharibiana. Ikanibidi nifanye upelelezi mkali, nikagundua yupo kwenye ndoa takatifu ya dini na ana watoto wawili halali na amenipita umri kwa mwaka mmoja japo ye aliniambia tumezaliwa mwaka mmoja. Mumewe ni kijana mzee yaani umri wa ujana unaoelekea uzee na mahali anapofanyia biashara zake huwa nakwenda sana na huwa napata huduma pia. Na ni mtu mwenye fedha nzuri tu za maana. Nilichogundua kingine, hana furaha na ile ndoa yao. Maana nilipompachika mimba alidai nimtoroshe nimpeleke kwetu akaishi na mama yangu.
Siku 1 nikamwita, nikala mzigo, nilipotosheka vizuri nikaanza kumbana aseme ukweli. Akakiri yuko kwenye ndoa. Ukweli nilimuonea huruma yeye pamoja na huyo mume wake. Nikaahidi kumwacha. Alilia na kubembeleza sana nisimwache na nimpe hela akatoe mimba. Nikakataa na pesa sikumpa.
Niliwahi kujiapiza sitatembea na mke wa mtu lakini hapo nilishanasa kwenye trap. I stayed apart from her kwa miezi 10 tukiwasiliana siku moja moja tu. Lakini siku moja alikuja getto nikala tena. Na anadai kila siku.....namuepuka.
Kwa hiyo dada we subiri umri uongezeke utajua tunaanzaje kuwavua nguo wake za watu.