Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

[emoji57][emoji57][emoji57].. Nimewasahau...
.. Ntatoboa sim.... Nikianza kuwa outline..... [emoji57][emoji57]
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Umenikumbusha ule uzi wa mwenzetu aliyetokea kumpenda CD. Machangudoa nao ni wanawake na wengine huweza kuwashawishi waache biashara zao ili wafunge pingu za milele.
Mkuu umenikumbusha mwaka 2011 maeneo fulani hapa mjini Daslam jamaa yangu alichukua manzi mmoja hivi bingwa sana wa kuuza nyapu town katika kupeana utamu nilishangaa manzi anatoa confession kuwa tangu azaliwe hajawahi kupewa mambo matamu kama yale.

Hakika hata bei waliyokuwa wameelewana na jamaa nilishangaa anachukua nusu na jamaa yangu nusu kisa tu amepewa utamu Usio na kifani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom