Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.

Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.

Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Mkeo kakudanganya alishakuwa na wangapi?
 
Mimi bado natafuta....natafuta bikra mwenzangu tuoane!
 
duuu mimi nahisi ukiwaweka kwenye basi la mkoani lile refuu wanajaa kabisaa sema now nimebadilika nimekuwa nimebaki na mtoto wa don wangu tyuu
 
NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.

Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.

Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Hujawahi kutoka nje!
Kwa hiyo maisha yote miaka hiyo 12 unaishi ndani tu na Nazi unafanyaga ndani..!
Au mimi ndo thijaelewa..?![emoji102]
 
Heeeee watu mna vituko humu ndani..... kumbe mkitembea mbele za wanawake mko
uchi kabisa maana kila mwanamke anakujua yule mrf huyu mfp haaaaaaa.
Aibu yao mimi bado sjafungua zipu
 
Back
Top Bottom