Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

Heeeee watu mna vituko humu ndani..... kumbe mkitembea mbele za wanawake mko
uchi kabisa maana kila mwanamke anakujua yule mrf huyu mfp haaaaaaa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Me kama 12 iv ila xaiv nimeacha iyo tabia,papuch zinadumaza akil mda ote unakua unawaza papuchi xo maendeleo,ndo mana ukikagua vijana ambao wanapenda papuchi utawakuta hawana kitu aseee
 
Miaka 12 bila kutoka nje ya ndoa, hongera sana. Wewe ni mfano wa kuigwa na vijana.

Inahitaji uvumilivu, kujitoa, kupendana na kuvumiliana sana kufikia hatua uliyofikia. 12yrs ain't a joke kiongozi, yani unaijua papuchi moja tu miaka yote hiyo?
Ni kweli mkuu, nimekuwa nikisafiri na wenzangu wenye wake zao katika mikoa mbalimbali
huko kote nimeona wakiwa na wengine lakini binafsi bado sijashawishika.
 
Ni kweli mkuu, nimekuwa nikisafiri na wenzangu wenye wake zao katika mikoa mbalimbali
huko kote nimeona wakiwa na wengine lakini binafsi bado sijashawishika.
kwa hali hii nitagonga sana wanawake
 
Ni ajabu kuijua papuchi moja kwa miaka yote hiyo ee?
Teh, jiulize miaka 12 iliyopita umezijua ngapi, then njoo tusemezane teh, teh!! Sio rahisi kwa kizazi hiki, jamaa anastahili pongezi.
 
NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.

Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.

Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Hongera sana mkuu, wewe ni mfano mzuri wa kuigwa.. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom