The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 813
ID yako tuu ilinitisha... Iyo tamu ulivyoigawa sipati picha muoaji atakuta niniMbona Mimi Nina 120 speed ya gari na isitoshe nawapa tamuu [emoji8] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji108]
ID yako tuu ilinitisha... Iyo tamu ulivyoigawa sipati picha muoaji atakuta niniMbona Mimi Nina 120 speed ya gari na isitoshe nawapa tamuu [emoji8] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji108]
hahahaaaaa..!!!watu ambao sio wakweli mnajulikana tuu.
Mmmmh, ya kweli hayo?Nimewahi kuwa na mpenzi mmoja tu.
Hahahaahaha kuna wakunipa mafuta ya bajaj yangu,kunilipia nyumba,kunilipia umeme na dstv,wa kuninunulia high heels so nashindwa kupunguza idadi....lolPole sana honey faith...Jikaze u stick na mmoja asee, Jitahidi sana.
umeshindwa kusema ukweli hapa sasa huko kwenye mazingira halisi si ndo wengi umewapoteza msituni kabisahahahaaaaa..!!!
Hongera sana mtani!!Nimejipima hapa kwenye huu uzi nikajihisi mtakatifu sana...
God have mercy on us...
hahaha..umetisha mkuuNingekuwa na namba ya King mswati ningemwambia aje atujibie hili....ila hakuna kitu nzuri kama onja onja
Utakuwa unazuga wewe, siamini sana japo pia sio ajabu sana kwa kizazi chetu!!Tena pongezi haswaaa maana mie huu mwaka unaishia nahisi nimeonja watu kama 7 hivi...
Kwa nini umeguna?
Hahahaha tunatoa tu stress ndugu yangu dont take it seriousUtakuwa unazuga wewe, siamini sana japo pia sio ajabu sana kwa kizazi chetu!!
Nimejikuta tu nimegunaKwa nini umeguna?
Na kwa nini umewaita hao?
Unadhani hao ni wapenzi wangu au?
Na mpenzi maana yake nini ?
🙂hahaha..umetisha mkuu
Mungu anakuona [emoji276]namjua mwanaume mmoja Tu..na ndio mume wangu
Kwa nini umewaita wao tu?Nimejikuta tu nimeguna
Nimewaita waone usa baby ana mpenzi mmoja tu
Hawawezi kuwa wapenzi wako
utakuwa mlaji papuchi za mabaa medi,wahaya,changudoa,vyangudoa,virukanjia n.k
Unaona sasa mtu muhimu @Kasie nimemsahauKwa nini umewaita wao tu?
Kasie mbona hujamuita?
Afrodenzi naye hujamuita.
Halima Msasambuaji hujamuita.
Heart hujamuita.
Hmmmm.....[emoji3]
Mkuu umenikumbusha mwaka 2011 maeneo fulani hapa mjini Daslam jamaa yangu alichukua manzi mmoja hivi bingwa sana wa kuuza nyapu town katika kupeana utamu nilishangaa manzi anatoa confession kuwa tangu azaliwe hajawahi kupewa mambo matamu kama yale.
Hakika hata bei waliyokuwa wameelewana na jamaa nilishangaa anachukua nusu na jamaa yangu nusu kisa tu amepewa utamu Usio na kifani.
Hata Cupcake hukumtaja[emoji3]Unaona sasa mtu muhimu @Kasie nimemsahau
Si unajua binadamu tunapitiwa
Hao wengine sijawahi kukutana nao ukiwa nao chemba
[emoji1] [emoji1] [emoji1]