Jiran mwema
Senior Member
- Nov 7, 2015
- 164
- 104
Mim ni uncountable kama mchanga wa bahar,ila namshkur Allah I am still safe!!!Tangu nigundue nko salama sitak masihara Na mwili Wang tena
Dah! haya bhana Mungu amekujaaliaAaaah na hapo nilikuwa bado mdogo ya sasa hivi ni hatari....[emoji6]
Mimi bikra pande zoteNILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.
Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.
Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Aliyeanzisha mada katika maelezo kauliza waliokutana nao kimwili, na kwa maelezo ya wengi hasa inapokuja idadi, ni dhahiri hakukuwa na mapenzi ni ngono au uasherati tu.hivi mpenzi ni yupi? ni uliosex nao au maana kuna wengine wanasex na mtu hata sio mpenzi wake inaitwa one night stand sijui?
hapa anataka idadi ipi ya uliodate nao au uliosex nao?
Ni changudoa wenziemfano changudoa anaejiuza wale wanaume anaowauzia ni wapenzi wake?
Bikra pande zote maana yake?Mimi bikra pande zote
Nina mpenzi mmoja tuu
Wakupiganae story za maisha.
Maana yake uke wake haujaguswa na Sehemu ya kutolea Haja kubwa japo siku hiz wanawake wanatolewa zote maana watu wanapenda kuchezea KinyesiBikra pande zote maana yake?
Nina watoto saba, nimechangia ongezeko la viumbe najua baadae watanishukuru tu.
DuuhNILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.
Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.
Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Kwenye kila mahusiano kama sio wote basi lazima kuna mmoja huchepuka/aliwahi kuchepuka.NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe