Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

Miaka 12 bila kutoka nje ya ndoa, hongera sana. Wewe ni mfano wa kuigwa na vijana.

Inahitaji uvumilivu, kujitoa, kupendana na kuvumiliana sana kufikia hatua uliyofikia. 12yrs ain't a joke kiongozi, yani unaijua papuchi moja tu miaka yote hiyo?
 
Nilikua chakaramu hapo mwanzo nikaamua kutulia nikatafuta mmoja nikatulia nae alichonifanya naona nirudie u play boy tu!!!!
 
nashangaa munaosema mmeunganisha vikojoleo na wanazake zaid ya 100 wakati mimi unaweza pita mwaka sijafanya hilo tendo!
hadi sasa nimetembea na watatu toka nizaliwe
 
Ngoja nikakague kanote book changu, nitarudi[emoji124]
 
sabini wachache hivyo mwenzio zaidi ya 150 na nna miaka 30 na nnaendelea kuwaburuza hapa nna ahad kama wa 5 hivi nawaza niende wapi aloooo
utakuwa mlaji papuchi za mabaa medi,wahaya,changudoa,vyangudoa,virukanjia n.k
 
Back
Top Bottom