Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.

Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.

Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
 
Aiseee kwa kweli nimewahi kuwa na wengi mno.

Sa hivi nataka nitafute mmoja wa mwisho nimalizie ujana rasmi kabla sijaingia rasmi kwenye ndoa
Duh, kaka hata mimi Idadi siikumbuki na kwa sasa ambao ninao Rasmi baada ya kuacha safari
za kwenye madanguro wanafika 9 tatizo ninataka kuoa, na hao wote wameniganda kwa matarajio
ya ndoa sijajua bado yupi nimchukue.
 
ha ha ha
mkuu kweli we nae kiboko aisee, kwa maisha ya saa hizi ya ujana na papuchi zilivyo rahisi kupata mtu unaweza kukuta hata buku unafikisha aiseee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha ha ha
mkuu kweli we nae kiboko aisee, kwa maisha ya saa hizi ya ujana na papuchi zilivyo rahisi kupata mtu unaweza kukuta hata buku unafikisha aiseee
Heeeee watu mna vituko humu ndani..... kumbe mkitembea mbele za wanawake mko
uchi kabisa maana kila mwanamke anakujua yule mrf huyu mfp haaaaaaa.
 
Heeeee watu mna vituko humu ndani..... kumbe mkitembea mbele za wanawake mko
uchi kabisa maana kila mwanamke anakujua yule mrf huyu mfp haaaaaaa.
ha ha ha
ni ujana tu mkuu, umri unatusumbua tu, mtusamehe kwa kweli.

Sio sisi ni umri.
 
Dah!!mkuu mtoa mada kwa upande wangu hata sikumbuki idadi ya wanawake, wasichana niliowahi kugegedana(kuunganisha vikojoleo)nao

Mwaka huu tu nikihesabu juu juu niliogegedana nao wanafika 34.
 
Mbona Mimi Nina 120 speed ya gari na isitoshe nawapa tamuu [emoji8] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji108]
 
Dah!!mkuu mtoa mada kwa upande wangu hata sikumbuki idadi ya wanawake, wasichana niliowahi kugegedana(kuunganisha vikojoleo)nao

Mwaka huu tu nikihesabu juu juu niliogegedana nao wanafika 34.
Vijana mna hatari ninyi katika uhai wangu nina idadi ya 33 tu na nimeshafikia utu uzima sasa
 
Duuuu m nakumbuka mala ya mwisho ilikuwa 2011 nilikuwa na watano tuu ila wale wakuhit and run cikumbuki n wangapi bt now nimeoa aisee
 
Duh, kaka hata mimi Idadi siikumbuki na kwa sasa ambao ninao Rasmi baada ya kuacha safari
za kwenye madanguro wanafika 9 tatizo ninataka kuoa, na hao wote wameniganda kwa matarajio
ya ndoa sijajua bado yupi nimchukue.
Oa wote
 
Back
Top Bottom