T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,529
Una idadi ya 33 tu tangu uanze kuunganisha vikojoleo mkuu Vijisenti?Vijana mna hatari ninyi katika uhai wangu nina idadi ya 33 tu na nimeshafikia utu uzima sasa
Una idadi ya 33 tu tangu uanze kuunganisha vikojoleo mkuu Vijisenti?Vijana mna hatari ninyi katika uhai wangu nina idadi ya 33 tu na nimeshafikia utu uzima sasa
hivi mpenzi ni yupi? ni uliosex nao au maana kuna wengine wanasex na mtu hata sio mpenzi wake inaitwa one night stand sijui?Watu wanajaza behewa za treni ya Gongo la Mboto!
hilo nalo swali!!maana hapo aseme walioganganisha vikojoleohivi mpenzi ni yupi? ni uliosex nao au maana kuna wengine wanasex na mtu hata sio mpenzi wake inaitwa one night stand sijui?
hapa anataka idadi ipi ya uliodate nao au uliosex nao?
maana kuna wengine wapenzi ila hawafanyi sexhilo nalo swali!!maana hapo aseme walioganganisha vikojoleo
mimi sijawai badoOhhhpppsssss....
Basi hongera sana
Haya mambo ya hatari sana aiseeee.......mimi sijawai bado
eheheeee bado unafukuzia humu?Haya mambo ya hatari sana aiseeee.......
Vijana wa sasa wana mambo sana, badala ya kuwaza njaro, eti wanaka na kujadili kwamba walipita na wangapi. Kisha wakisha ona hawapati majibu ya kujiridhisha, wanakuja kutujaribu na sisi wazee humu jamvini.
Kimsingi mimi nikiulizwa swali hili nitajibu kwamba ninae mmoja tu, na ndie ninae mjua kwa wakati huo nilio nae. Maana hakuna haja ya kuanza kuwakumbuka wengine ilhali tayari unae wakwako mmoja kwa wakati huo.
Ebu ngoja niishie hapa, nisije nikajikuta namkosa hata yule nilie anza kumzoza humu jf[emoji5] [emoji5]
Naachaje sasa..[emoji2] [emoji2]eheheeee bado unafukuzia humu?
Kuna tofauti gani kati ya ku-date na ku-sex?hivi mpenzi ni yupi? ni uliosex nao au maana kuna wengine wanasex na mtu hata sio mpenzi wake inaitwa one night stand sijui?
hapa anataka idadi ipi ya uliodate nao au uliosex nao?
mfano changudoa anaejiuza wale wanaume anaowauzia ni wapenzi wake?Kuna tofauti gani kati ya ku-date na ku-sex?
Msaada Miss Natafuta..
Hapanamfano changudoa anaejiuza wale wanaume anaowauzia ni wapenzi wake?
Kama nikutembea tu nimetembea nao wengi sana Mkuu..RootTatizo mnakutana na machangudoa wa shot time afu mnasema mmetembea wa wanawake 70
Tatizo mnakutana na machangudoa wa shot time afu mnasema mmetembea wa wanawake 70
nadhani ushaelewa point yangu sasaHapana
NAMIE NTAKUWA WANGAPI HAPOMbona Mimi Nina 120 speed ya gari na isitoshe nawapa tamuu [emoji8] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji108]
MIE NAJUA UNABIKRA MOJA TU NYINGNE TAYARImimi sijawai bado