una umri gani?kaa nakutokuamini kwako..
Teh teh..Sikumbuki idadi ila kwa haraka haraka naweza kujaza noah
Mambo yakutafuta uzoefu tu mkuu!Hivi kutembea na wanawake wote hao mmepata faida gani?
12yrs ni safari ndefu!!Na wewe pia nakupongeza, japo hujanisimulia. Hongera sana.
havihusiani..una umri gani?
Sana mtani..12yrs ni safari ndefu!!
Duh! aise unaweza kuona hujawa na idadi kubwa ila ukihesabu unaweza ukalia na pengine ukakuta unajaza yutong na costa kama mbili au tatu..Hahahaahahaa.Nina watoto saba, nimechangia ongezeko la viumbe najua baadae watanishukuru tu.
UNITAFTE KWA MUDA WAKO ILI UJUE MENGI USIYOYAJUAndio......
Hivi kutembea na wanawake wote hao mmepata faida gani?
Njoo kwangu bana achana na hao wenye 100.NAMIE NTAKUWA WANGAPI HAPO
Cha mtoto kabisa hao watu wana 1000+ na wanakimbilia 2000 (sio mimi)yani hao mpaka wananuka KNILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.
Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.
Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
watu ambao sio wakweli mnajulikana tuu.havihusiani..
hata inuke mkuu inaliwa. k hainuniwi mkuuCha mtoto kabisa hao watu wana 1000+ na wanakimbilia 2000 (sio mimi)yani hao mpaka wananuka K
NAONA 0713 YAKO INAKUWASHA UJE GHETO KWANGU WALA SI MBALI UKITOKEA UBUNGO AMA POSTANjoo kwangu bana achana na hao wenye 100.
ukitembea na weng unajifunza mengi, experience na utamu tofauti. ni utajiri ati!kwani kutembea na wachache kuna faida gan?!
Tatizo mnakutana na machangudoa wa shot time afu mnasema mmetembea wa wanawake 70