Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
76
56
kidonge kinaitwa Govvi petrol pill
Kimeshatumika sana duniani
na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi.

Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana.
Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia.

Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha moto. Na utaweza kukitumia kwa mda mrefu zaidi au kwa umbali mrefu zaidi.

Weka maneno haya youtube na utakuta video yetu na linki ya group la whatsapp. "

Kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari lako Govvi petrol pill Tanzania​

"
Kimeelezewa na dada hapo. na chini kwenye comment utakuta link ya group la whatsapp.

Asanteni na karibuni wote.

View: https://www.youtube.com/watch?v=MlLBPekiMM4
Tembelea ulichokiona hapo juu kupitia link hii
 
kidonge kinaitwa Govvi petrol pill
Kimeshatumika sana duniani
na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi.

Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana.
Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia.

Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha moto. Na utaweza kukitumia kwa mda mrefu zaidi au kwa umbali mrefu zaidi.

Weka maneno haya youtube na utakuta video yetu na linki ya group la whatsapp. "

Kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari lako Govvi petrol pill Tanzania​

"
Kimeelezewa na dada hapo. na chini kwenye comment utakuta link ya group la whatsapp.

Asanteni na karibuni wote.
Working principle yake ipoje?
 
Bana matumizi ya petrol kwa kutumia kidonge cha govvi. chenye uwezo wa kupunguza matumizi ya mafuta ya petrol kwenye vyombo vya moto.

Aliyekitengeneza aliweza kupata nobel price. Tuzo ya heshima kwenye masuala ya chemistry.

Utashi aliotumia hatutoweza kuueleza hapa. Ila kikubwa ni kwamba kidonge hiki kinafanya kazi. Watu wa nchi kama mexico wanakitumia kwanzia 2015.

Unaweza ukakipata sasa hapa nyumbani.

Bana matumizi ya chombo chako cha moto kwa kuweka kidonge hiki.

Unaweza ukajiunga kwenye group letu na kupata maelekezo zaidi.
 
Weka nyama ya kutosha kuhusu govi sifa na faida zake
 
Attachments

  • Screenshot_20221208_153049.jpg
    Screenshot_20221208_153049.jpg
    83.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221208_153138.jpg
    Screenshot_20221208_153138.jpg
    83.9 KB · Views: 7
Kwa hiyo tank ikimeza tembe moja gari inatembea km 350? Punguza bei mkuu?
 
Back
Top Bottom