petrol

Gasoline () or petrol () (see the etymology for naming differences and the use of the term gas) is a transparent, petroleum-derived flammable liquid that is used primarily as a fuel in most spark-ignited internal combustion engines. It consists mostly of organic compounds obtained by the fractional distillation of petroleum, enhanced with a variety of additives. On average, a 160-liter (42-U.S.-gallon) barrel of crude oil can yield up to about 72 liters (19 U.S. gallons) of gasoline after processing in an oil refinery, depending on the crude oil assay and on what other refined products are also extracted.
The characteristic of a particular gasoline blend to resist igniting too early (which causes knocking and reduces efficiency in reciprocating engines) is measured by its octane rating, which is produced in several grades. Tetraethyl lead and other lead compounds, once widely used to increase octane rating, are no longer used in most areas (they are still used in aviation
and off-road and auto-racing applications). Other chemicals are frequently added to gasoline to improve chemical stability and performance characteristics, control corrosiveness, and provide fuel system cleaning. Gasoline may contain oxygenating (oxygen-enhancing) chemicals such as ethanol, MTBE, or ETBE to improve combustion.
Gasoline can enter the environment uncombusted, both as liquid and as vapor, from leakage and handling during production, transport, and delivery (e.g., from storage tanks, from spills, etc.). As an example of efforts to control such leakage, many underground storage tanks are required to have extensive measures in place to detect and prevent such leaks. Gasoline contains known carcinogens. Gasoline emissions are estimated to cause over 100,000 premature deaths every year. Burning a liter of gasoline emits about 2.3 kg of CO2 contributing to human-caused climate change.

View More On Wikipedia.org
  1. princ kadur

    Mwenye kufahamu contacts za Puma petrol station Arusha msaada

    Habar wakuu msaada mwenye kufahamu E-mail Ama Namba za simu ya Petrol station za puma hasa Arusha..
  2. Z

    Olympic petrol

    Naomba kufahamu maslahi yake yakoje kwa wafanyakazi KUna ndugu yangu kapata kazi Asante.
  3. Lambardi

    Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  4. T

    Mafuta ya Petrol na Diesel yameenza kuadimika tena nchini

    Wanajamvi Taharuki ya kuadimika kwa mafuta ya Petrol na Diesel imeanza tena kama ilivyo ada kila ukifika mwisho wa mwezi Leo tarehe 27.09.2023 Urambo Tabora Hali si shwari misururu ya madumu kweli sheli yameanza Inasiktikisha sana kuona wananchi wakiteseka namna hii na serikali tushindwa...
  5. Restless Hustler

    Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?

    Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (bodaboda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda. Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
  6. emmarki

    Brand gani ya Petrol Generator nzuri

    Nataka kununua generator la 3.5 kva kwa ajili ya kuendeshea stationary, tanesco wamegeuka mwiba huku kijijini. Ni brand gani yenye generator bora zinazotumia petrol, naomba kupata vidokezo juu ya bei zinacheza around ngapi.
  7. Q

    Rais Samia anajaribu kuzima moto wa petrol kwa maji

    Moto wa petroli una tabia kuu moja, unapoumwagia maji ili kuuzima unaibukia pembeni tena kwa nguvu zaidi ya ule wa mwanzo tena una tabia ya kulipuka. Deusdedith Soka kijana aliyeandamana kupinga mkataba wa DPW jana kachomewa nyumba yake na watu wasiojulikana, Mdude, Mwambukusi na Dr. Slaa...
  8. ndiuka

    Kuadimika kwa Petrol Songea

    Wakuu nipo Songea hapa toka jana, baadhi ya vituo vya mafuta hakuna Petrol, inaelekea wafanyabiashara wanaficha mafuta huenda wanategemea kupanda kwa bei karibuni huu si uungwana. Hebu mamlaka zichukue hatua.
  9. G

    Kikao cha wadau wa Petrol

     Nimeikuta maharishi Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk procurement na upendeleo na rushwa zinazofanywa kuwapa watu vibali...
  10. Mparee2

    EWURA Kuondoa ushindani kwenye Petrol ni sawa?

    Binafsi sioni kama ni sawa kuondoa ushindani kwenye bidhaa (kibiashara) Nilitamani EWURA watoe bei Elekezi ya juu, ila bei ya chini waache kila mtu ajipangie Tumeona hii ikifanyika kwenye ada za Shule za private nk Kuna vituo vya mafuta vyenye uwekezaji mkubwa na wanamitaji mikubwa hivyo...
  11. REJESHO HURU

    EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
  12. GISAMBO

    INAUZWA Pressure washer petrol

    Rated voltage/Fre: 220V/50Hz Engine:KM170F/212CC/70*55mm Motor speed: 2800rpm Rated pressure: 2465PSI Max, pressure:2700PSI Flow: 9L/MIN Alternator: Copper Aluminum pump head Plastic pressure pipe and gun Dsm - kimara Call 0686449612 650,000
  13. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

    Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya...
  14. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas fuel kwenye magari ya diesel na petrol

    Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya...
  15. Dr Akili

    Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
  16. Iziwari

    Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  17. B

    Kigogo anaposhindwa kutoa sababu ya unafuu Petrol Zanzibar

    Habari hii ina ukakasi wa kutosha: Ni vipi makamu wa rais kushindwa kutoa sababu bayana kwanini bei za mafuta Zanzibar, ni chini kuliko bara kwahakika inashangaza.
  18. mtarimbo

    Marekani kuanza kusitisha uzalishaji wa magari yanayotumia petrol kuanzia2035

    Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo. Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta. California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a...
  19. Suzy Elias

    Petrol imeadimika mno tokea jana

    Vilio kwa ndugu na jamaa hasa bajaj,bodaboda na gari nyingi zinazotumia mafuta ya petrol ni kikubwa kuanzia jana. Mfano eneo la kuanzia Moshi mjini hadi Arusha kuanzia jana ni vituo vichache mno vilivyokuwa na mafuta ya petrol! Vilevile muda huu kwa mujibu wa mimi mwenyewe nikiwa hapa mji wa...
Back
Top Bottom