Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Kila mchangiaji hapa amekumbana kwa namna moja au nyingine na nyoka huyu hatari porini au shambani ..NI RISK SANA KUISHI AFRIKA!!
niliangalia documentary Fulani Asia wanaongoza kwa vifo vinavosababishwa na nyoka
 
Nukimuona Nyoka yoyote namuua kwanza namchunguza baadaye
 
Huyu nyoka mpole sana wanapatikana sana maeneo ya baridi , siku moja nikiwa mafinga jkt nilitoroka mkesha nikaenda kulala porini nilikuwa na blanket nikiwa nmelala kumbe likaja likifutu na kuingia kwenye blanket asubuhi nashtuka linanitekenya...
Wala halikunidhuru

Bila shaka we ni kilimo kwanza op hii story naijua
 
kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
Nguo ilikuwaje mkuu ulipandisha ukavaa hivyo hivyo au ulikuwa umevua zote kwahiyo ukazibeba,kama ulizikumbuka lakini?
 
unapona lakini lazima kuna mawili either utembee kama kilema, au mguu unaweza ukavimba au mkono usirudi katika hali yake ya kawaida, au ukatwe kabisa, manake sumu yake ni kama ina kansa huyu kifutu, na ukimuona tembea yake kama kinyonga hana haraka
Unapona vizuri tu bhana, huku kwetu mbona imetokea watu kuumwa na kifutu mara nyingi lakini wanatibiwa na miti shamba na wanapona. Ila ukicheleweshwa kutibiwa ndo inshu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu kifutu anaweza kukudhuru kwa njia mbili:
1. Meno,hapa anakugonga kwa meno yake yaliyopo mdomon na akukugonga kwa njia hii ni rahisi kupona na matibabu yake ni mengi tu. Na mara nyingi huwa anajilinda kwa kukuuma kwa meno
2. Mwiba: nimeambiwa ana mwiba mkiani na una sumu kali sana akikuchoma nao,huwa hatumii sana njia hii kupambana na binadam lkn akiamua kukuchoma na mwiba huu ni majaariwa sana kupona na hata usipo-RIP basi utapata ulemavu wa kudum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
THE BEST COMMENT KWA POST HII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapona vizuri tu bhana, huku kwetu mbona imetokea watu kuumwa na kifutu mara nyingi lakini wanatibiwa na miti shamba na wanapona. Ila ukicheleweshwa kutibiwa ndo inshu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni wachache sana mkuu, na wanadai anavyokwenda kama kinyonga na sumu yake inasambaa taratibu hivyo hivyo, nahisi watakuwa walichelewa kutibiwa
 
Mkuu asante sana nilivyo muoga na hivyo viumbe
 
Onto kwa taarifa yako kumuona kifutu tangu kichwa hadi mkia anakatiza njia yako kama unaenda mwenye biashara au Kazi ya kukupa kipato ni mkosi babu kubwa kuna lolote litatokea hadi kufilisika si nyoka mzuri
Aisee
 
Back
Top Bottom