uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHuyo nyoka ni noma akikung'ata usipotibiwa vizuri pale ulipong'atwa huwa panaoza kabisa.
-Ndumilakuwili-
sasa je, ugali mutamu bana asikwambie mtu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
duh!!!kwahiyo ukatembea na mavi yako
unapona lakini lazima kuna mawili either utembee kama kilema, au mguu unaweza ukavimba au mkono usirudi katika hali yake ya kawaida, au ukatwe kabisa, manake sumu yake ni kama ina kansa huyu kifutu, na ukimuona tembea yake kama kinyonga hana harakaNasikia sumu yake haina tiba ila ni kipindi cha utoto tuliambiwaga hivyo ila kwasasa itakuwepo tiba yake.
lazima utakuwa muwindaji uliyejipaka mafuta ya simba aisee,Huyu nyoka nimeshalala nae sana maporini, ukiwa mtu wa kulala vichakani lazima utadamke nae asubuhi.
Akili finyu hiziUnahurumia snake!? Yeye hawezi kukuhurumia jombaa... Na tumeagizwa tuwaponde vichwa, hivyo hao jamaa walitimiza maandiko....
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Dah kuna binadamu mna roho ngumu sana!unavyomuongelea utadhani ka mnyama kama ka chura hiviKwanza huyu nyoka ni mpole.
Kinachomfanya aue sana na harak ni sumu yake kuwa nyepesi sio nZito so inasafiri kwa urahisi sana
Kingine huyu jamaa ni mlain sana, nimewah wapiga na jembe unawakat vizuri, wana body laini
Mweeeh sitaki kuskia. Sipendi nyoka hata niambiwe anatema diamond
Na naomba Mungu pindi nyoka akikuona akugonge tena wale deadliest snake.Slow but deadly snake. Huyu hafai kabisa kumpa sifa zozote zile. By the way, nyoka ni nyoka tu, akionekana sharti apondwe kichwa. mimi ningefurahi kila mara nyoka akionekana apondwe tu kichwa no way!
Wewe kama mimi ila nakuzidi padogo tu, mimi hata nyoka aliyekufa ni adui yangu
Pambana na hali yakonyoka yeyote ni adui yangu
Mimi ninavyojua kifutu ndio moma, sijui kama nakosea..... Wenye kujua tafadhali.Mleta mada, huyo nyoka kweli anaitwa Kifutu au Moma?.
Kwa uelewa wangu na miaka yote ambayo niko porini, namfahamu kama Moma.
Kifutu ni nyoka wengine wana rangi ya brown ambao nao ni wapole lakini wana sumu kali zaidi.
Mila potofu.Onto kwa taarifa yako kumuona kifutu tangu kichwa hadi mkia anakatiza njia yako kama unaenda mwenye biashara au Kazi ya kukupa kipato ni mkosi babu kubwa kuna lolote litatokea hadi kufilisika si nyoka mzuri
Nyoka wanakula panya na wanyama wengine waharibifu nakushauri usiwafukuze nyoka ni dawa ya panya hapo kwakohamna kitu naogopa kama nyoka,,kuna dawa za kupuliza home nyoka wasiwepo kabisa?
Kwani ushawahi kuona nyoka akimkimbiza mtu ?ukikutana nae... utakuwa na muda wa kusubiri aone aibu...!? kwanza sijawahi kuona amfibia akiwa na furaha au aibu..
Ukishakimbia na kupoteza calories zote ?Nyoka ana aibu? Huo muda wa kumchunguza sina mi ni nduki tu