Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Nilipokuwa Jkt miaka hiyo wakati tupo shambani tuliwakamata sana, ilikuwa tukiwakamata na kuwachemsha supu

Jamii Forums mobile app
 
huyu simjui mimi niulize tuu koboko ndiye nyoka ninaye mjua na kumuheshimu hapa duniani.
 
Kuna maua yake ukipanda huwa hafiki maeneo hayo. Ningekushauri umwage Petroli au Mafuta ya taa ila ndo hivyo ni gharama kisha sio dawa nzuri kuliko hayo maua.
hayo maua yanaitwaje
 
Namna ya kuandaa nyamachoma ya nyoka kifutu:

1. Mkamate kifutu aliekomaa (mwenye umri wa miaka sita na kuendelea).

2. Mshike mkia halafu mchape kwenye ardhi kavu kwq nguvu (Hapo atavunjika uti wa mgongo na kuwa hajiwezi au kufa kabisa).

3. Mkate kichwa na ukitupilie mbali. Kichwa pekee ndio kiungo chenye sumu kwenye mwili wa nyoka, kiwiliwili hakina sumu yoyote.

5. Mchune ngozi.

6. mkate katika vipande vidogovidogo.

7. Ondoa steki za nyama kutoka kwenye uti wa mgongo wa nyoka. (Unaweza kuuuacha pia, chaguo ni lako)

8. Vitie hivyo vipande vya nyoka ndani ya maji ya uvuguuvugu yaliyotiwa chumvi, ndimu, tangawizi na viungo vyovyote unavyovipenda kuandalia nyama choma. Viache hivyo vipande vikae humo kwa masaa yasiyopungua sita.

9. Baada ya hapo vitoe hivyo vipande kutoka kwenye maji kisha vipake mafuta kiasi halafu vitupie kunako motoni/oven kwa ajili ya kuvichoma.
Nyama ya kifutu ni laini sana kwahiyo usiache hiyo nyama ikakaa muda mrefu kwenye oven hadi ikawa ujiuji.

10. Baada ya hapo iandae nyamachoma yako. Inafaa zaidi kuliwa na ugali au ndizi choma huku ukishushia na juisi ya ukwaju ama machungwa.

Kila la kheri!!!
 
AaAah! We bhana; Hapo No. 10 ulitakiwa umalizie sentensi yako hivi kwamba Halafu unashushia na ki.r.ba
 
Katika viumbe wa Mungu mimi ...... kiumbe nyoka ninatamanigi kumwomba baba Muumba atengue uumbaji wake. nawaogopa sana hawa kwa kweli. 🙁🙁😳
 
black mamba au puff adder viper? deadly snakes wote wako poa tu mkizoeana.
Haswaa Mkuu. Tena usimstue kwani atajihami mara moja haraka - ama atakukimbia au kukutemea e.g. spitting cobra (kule kwetu tunamwitaga nyamwilu) anaweza kulenga shabaha sahihi(Range timamu) 3 metres kwenye macho au puani. Na wewe kwa upande wako ukimwona usipanic kwani ukipanic mwili wako utatoa majimaji (Adrenaline) yatakayosababisha harufu ya kuashiria mapambano.Uwe mtulivu halafu ondoka hapo au pita hivi umwache na hamsini zake.
 
Huyo nyoka akikuuma ukiwahi kupata tiba basi utakuwa na magamba kama yake ktk ngozi.
 
Back
Top Bottom