Hacktivist
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 249
- 87
Asante kwa elimu mkuu ...................
Hamna mkuu Africa mbona patamu tu.....Kila mchangiaji hapa amekumbana kwa namna moja au nyingine na nyoka huyu hatari porini au shambani ..NI RISK SANA KUISHI AFRIKA!!
Ukimwona nyoka pale Ferry jua huyo katumwa.... Dawa ya kumfukuza nyoka ni shombo la maji ya samaki....hamna kitu naogopa kama nyoka,,kuna dawa za kupuliza home nyoka wasiwepo kabisa?
Wewe kama mimi ila nakuzidi padogo tu, mimi hata nyoka aliyekufa ni adui yangunyoka yeyote ni adui yangu
kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
duh!!!kwahiyo ukatembea na mavi yakoUtasababisha wawindwe kwa fujo sanaHahaaaa ukatili mkubwa sana kifutu pia ni dawa ya kukuza kibamia ukichanjia mkia wa kifitu ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganga mpya huu wa kumshika mkia no mi najua wa kumvizia anakojoa unachukua mkojo wake unajipaka kibamia kinaanza kukua kila baada ya dk 20 ukiridhika unaosha na mate ya kofutu basiNikweli kabisa au unamshika mzima unamweka ili akung'ate kibamia akishakung'ata tu kibamia kinaanza kukua ndani ya masaa matatu tu
ha ha eti bodi lainiKwanza huyu nyoka ni mpole.
Kinachomfanya aue sana na harak ni sumu yake kuwa nyepesi sio nZito so inasafiri kwa urahisi sana
Kingine huyu jamaa ni mlain sana, nimewah wapiga na jembe unawakat vizuri, wana body laini
