Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

Kwa jibu hili naona kabisa umeme hauna utaalamu nao ila umeanzisha tuu hii thread kutafuta sifa lakini unadhalilisha professional za watu maana majibu sio ya mtu anaeonekana kasomea umeme kwa kiwango chakuweza kuuchambua
Mkuu asante kwa kuliona hilo sikuanzisha hii thread kwa sifa kama ww unavyowazia nakuhusu taaluma mm nina level one ya umeme nimeweka hii thread nipate kujifunya najua kuna maengenier humu ndani jf ni zaidi ya kujifunzia
 
Okey kama upo kwaajili ya kujifunza
 
Mm hapa ndio expert kwenye field hii kama bado unashida ya hili swala nitafute kwa namba 0715277821 hauta kosa umeme hata siku moja kwenye system yako ya solar kwakuwa nitakushushia hesabu za kupata size ya solar module itakayokugaa na size ya battery itakayoweza kuendesha vifaa vyako na pia size ya inverter itakayofaa bila kusahau charge controller
 
Na Je usipo weka chumvi na mkaa unapochimbia eth wire za solar panel Je Umeme utapotea?
Maan tumefungiwa panel za solar Wat ndogo ni Wat 200 na zilkuja na box lenye inveter na betry ya ndani na linawekwa betry 2 kubwa zile za kawaida Lakin Umeme wake unaisha haraka sana tunashindwa elewa ni kwasababu hawakuweka chumv na mkaa? Maana Wat kubwa kabisa ya ofcn ina Wat 360 Lakin hakuna moto na ukiwepo unawahi kuisha haraka
Naomba ufafanuzi hapo.....
Hapo tatizo linaloonekana nikwamba charging current ya solar yako haitoshi kuweza kucharge hizo battery zikajaa vizuri au loads zako ni kubwa kuliko backup time ya batteries zako maana unaweza ukawa mahitaji yako ni battery itakayo weza endesha mziko wako kwa masaa 6 lakini batteries ilizo nazo zinauwezo wa kuendesha loads zako kwa masaa mawili tuu so lazima utapata hilo tatizo na ndipo mafundi wengi wanapokosea kwenye maswala haya ya solar maana wanabuni tuu hakuna mahesabu wanayoyafanya kama bado unatatizo hilo namba zangu ni 0715277821 na nikisha kurekebishia ujeutoa ushuhuda humu
NAOMBA KUELIMISHWA KUHUSU UMEME WA SOLAR
Ni hivi, nataka kuhamia kwenye nyumba yangu kabla haijaisha kabisa, ikiwa ni pamoja umeme wa TANESCO bado. Nilipenda kujuwa 1) nikitaka kuweka solar yenye uwezo wa kuwasha at least bulb 5 na TV, nitahitaji solar ya bei gani? 2) nitazipata wapi! (yaani supplier), 3) kwa kawaida supplier ndiye ana-instal au installation hufanywa na mwingine?
NAWASILISHA
 
hilo swali la 3 phase 2phase na single phase hujalijibu ipasavyo.... umeulizwa tofauti wewe unasema ni cost ya installation? elezea tofauti
Kuna tofauti kubwa kati ya electrician na electrical technician hahhaa sasa mleta mada atakuwa yupo kwenye kundi la electrician
 
Ni economy facts ndio zinatupelekea tupendelee kusafirisha AC kuliko Dc Technical Ac inatabia moja ambayo ndio hutufanya tupendelee kuisafirisha over distance tabia hii ni kuwa ac unaweza kupandisha volts by using transformer hapo ukikuza volts current itapungua na kupelekea Kuhitaji waya wenye cross section area ndogo tofauti na dc ambayo haiwezi kuwa transformed, Current ikiwa ndogo ina minimize Losses na kuzidi ufanisi wa Transmission lines
Wewe ndio ulipaswa kuanzisha hii thread maana inaonekana kama wewe sio electrical technician basi ni electrical engineer pia maana nimejaribu kufatilia majibu yako yapo sawa na principles za umeme au utakuwa na vyeti vyote viwili nikimaanisha diploma na degree ya umeme hahhahaaa good work
 
Je naweza kuzalisha umeme wa matumizi binafsi bila gharama za kujirudia mfano Petrol na Diesel.

Kama ndio umeme huo ntaweza kupiga pasi, washing mashine, friji ,tv , taa na matumizi mengine mengine ya nyumbani.

Kwa makadirio setup nzima inaweza kunigharimu kiasi gani?

Shukran
Ndio solar system au hata wind mills zinauwezo huo lakini ili uweze kujua ita cost bei kiasi gani kudesign hii system ni vyema ukamtafuta fundi akafanya load analysis ya vifaa vyako vyote then baada ya hapo ndio fundi atakaa chini apige hesabu kwa load yako atatumia labda solar ya ukubwa gani na battery ya capacity ipi. Kama unahitaji hiyo system kwako unaweza kunipata kwa 0715277821 dar.
 
Mkuu nafikiri sio Finances tu ilisababisha kukwamisha hii project wapo walio muona Nikola Tesla atavuruga biashara za Electrical materials kama Conductors mfadhili wake mkubwa J.P morgan aligoma kuifadhili baada ya kufanya analysis ya outcomes kama ikiwa Completed na iko work properly

Aisee sababu ya hiyo project kuwa abandoned ni sababu za kisayansi na siyo figisu. Hivi wazee mshawahi ona umeme unapita hewani.? Ionization ya hewa si mchezo, na pia si safe kwa matumizi ya binadamu. Practicaly inawezekana, but madhara yake ni makubwa kuliko faida.
 
Nataka kufunga umeme wa solar,je kuna uhusiano wa inverter watts,battery N value na solar pannel watts ? Je kama upo relationship yake ipo vipi? Mfano Inverter ya watts xx inahitaji Battery ya Nxx na Solar pannel ya watts xx nataka jibu kama hivyo.
Swali zuri sana naona halijapatiwa majibu sasa naomba nikujibu
Uhusiano uliopo kati ya vitu hivyo vitatu ulovyouliza yaani solar module,inveter na battery N/Ah unakuwepo hivi.....solar module selected inatakiwa iwe na uwezo wa kutoa required charging current itayoweza kucharge battery lako hii ndio kazi pekee ya solar module baada ya hapo battery ndio lita supply voltage kwenda kwenye vifaa vyako so uhusiano uliopo kati ya solar na battery ni kwamba ile N au wengine wanaandika Ah nikukuwezesha kuweza kupata kiwanga cha charging current itakayo weza kuchaji battery husika kutoka kwenye panel na huwa inakiwa mathematically the charging current should be 10% of the battery N/Ah so if u have a battery lets say 50N/Ah ukitafuta 10% yake utapata 5Amps so utatakiwa uwe na solar yenye uwezo wakutoa 5Amps na solar hiyo itakuwa ya 60watts
Ukija uhusiano kati ya inverter na solar au na battery hakuna uhusiano wa direct ila kiutaalamu inverter ina uhusiano wa moja kwa moja na loads zilozopo kwenye matumizi ambapo uhusiano wake ni kwamba inverter should be greater by 25-30% than the total load so kama umefanya analysis ya loads zako labda kwenye nyumba ukakuta loads zako zote ni 800watts so utazidisha hizo 800watts kwa 1.25 jibu utakalo lipata ndio size ya inverter utakayotakiwa kuitumia.
Nazani nimejaribu kukujibu kwa ufupi tuu.Asante kwa swali
 
Nimekusoma Kiongozi.
 
Kwa nini mtandao wa taifa wa umeme ni AC siyo DC? (10 marks).
 
Hii ilishafanywa na Tesla zaman zaman sana.Sijajua kwanin imekua ngumu kuimplent kwa sasa
Tatizo hii kitu ni risk inatengenez EMF, maan utakuwa una deal na AC. Nahisi wanaogopa madhara ya nguvu ya sumaku itayokuwa induced au kui control ni ngumu
 
Kwa nn bei ya unit ya umeme inataka kupanda badala ya kushuka wakati tumeanza kutumia gas, na Leo nimesikia kwenye vyombo vya habari waziri mkuu akisema kuwa umeme dar hautakatika tena, je ni kweli?
Hapa ni ishu za gharama za ufuaji umeme, miundo mbinu pamoja hali zingine zinafanya cost zipande ili uzalishaji usije kwama
 
Je hata mawe yana umeme? Maana ukiyagonganisha kwa nguvu hutoa cheche za moto. Je Umeme una safiri pamoja na sauti maana huwa nasikia shoti zikipiga kwa sauti paaaaah?
Kuna kitu kinaitwa Energy, ambayo huwez kubadilishwa katika form mbal mbali ikiwemo ya Umeme.

Kutokana na tech unaweza generate umeme , cheche hizo ni ishara ya huwepo wa heat energy ambayo huweza badilishwa kuwa Umeme.

Tukiwa hilo la sauti, jua hakuna kifaaa cheny ufanis wa 100% kuna baadhi ya nishati upotea, katik form mbali mbali, kama sauti, heat n.k
 
Kwa nn umeme unakatika
Hapa kuna reason nyingi.

Yaweza kuwa source inayo leta umeme ikiishindwa kuendelea kuzalisha na kutopeleka umeme.

Miundo mbinu inayo safirsha umeme kupata hitilafu hivyo umeme usifike mahali husika.

Kuzimwa au kufungwa kwa route inayoletaa umeme kwa sababu za kiuchumi au ki rasilimali
 
Eti umeme unaflow kama maji?
Kulingana na tabia zao , nyingi zinafanana.

Wote hutembea kutoka kwenye high potential to low, wote wana flow kuelekea kule kwenye ukinzani mdogo , ukubwa wa bomba la maji (unafananishwa na unene wa waya umeme katika ukinzan haata kutembea kwao)
Wote wanahitaj kuwe na potential differnc ili flow hiwepo.

So kufanan ni kwingi
 
Back
Top Bottom