ni vigezo gani wanaangalia kuhamisha tariffMkuu japo sijafanya kazi pale tanesco hila tarrif kwa mteja ni ruhsa kuhama kwa maelezo zaidi fika kituo kilicho karibu nawe cha tanesco
ni vigezo gani wanaangalia kuhamisha tariffMkuu japo sijafanya kazi pale tanesco hila tarrif kwa mteja ni ruhsa kuhama kwa maelezo zaidi fika kituo kilicho karibu nawe cha tanesco
Biogas au Solar ndo option pekeeJe naweza kuzalisha umeme wa matumizi binafsi bila gharama za kujirudia mfano Petrol na Diesel.
Kama ndio umeme huo ntaweza kupiga pasi, washing mashine, friji ,tv , taa na matumizi mengine mengine ya nyumbani.
Kwa makadirio setup nzima inaweza kunigharimu kiasi gani?
Shukran
Baraka Current, Dan Marconi na wataalam wengine, mie kwangu kutoka nguzo ya tanesco kuna wire mmoja tu unaofika ktk meter, je iko sawa hii??kwenye nguzo ya tanesco huwa inaleta nyanya 4, sa phase 1 unapewa nyaya 2(wenye moto m1 na netrual m1) phase 3 unapewa zenye moto 3 na neutral 1, ndo maana kama una phase 3 unakuwa na umeme mwing hata kiwanda unaweza fungua kwako, na kama ukikatka kuna switch umeme unakuwepo kwingne hamna umeme! npo tayari kurekebishwa
Hilo tatzo limeanza hivi karibuni au ni tokea lini? Na zaman matumiz yalikuaje?Nyumba yangu inatumia umeme mwingi sana. Nina fridge moja na taa energy saver kama 4 tu! Natumia units 8/24 hrs! This is too much, what could be the problem
Njoo PM mkuuMimi nauliza nina motor ya 50hp iliungua nataka kuisuka upya je inataka wire gauge ngapi na kiasi gani rpm 1450
Asante sana me 1Kwa maelezo rahisi HP 1 itatumia unit tisa (9) na HP 2 itatumia mara mbili yake.
Hii hesabu itaongezeka kidogo kutokana na AC hutumia umeme mkubwa wakati wa kuanza kuwaka japo hesabu haiendi mbali sana na hapo.
umeme umevuta lini? haiwezekani kuwe na nyaya moja 2 inayoleta umeme, sema wamezisokota ukiangalia inakuwa moja 2 ila angalia wanapochukulia umeme zmeunganishwa ngapi toka kwenye nguzo,Baraka Current, Dan Marconi na wataalam wengine, mie kwangu kutoka nguzo ya tanesco kuna wire mmoja tu unaofika ktk meter, je iko sawa hii??
Mkuu kumbuka mali ya tanesco ni kuanzia luku(mita) kuelekea kwenye bracket nguzo na kuelekea sub station cha mtu mavi achana na hizo techniq mkuuMkuu ni technique gani ya kufanya kwenye mita ili nizuie umeme wa luku usiishe mapema?
Natanguliza shukrani
Je umeme na ukimwi vinafanya kzi sawa? Mbona vyote one name?Umeme ndo nini?
Mdau earth yako iko gonjwa.Unakuta umezima taa lakni baada ya muda inakuwa inawaka na kuzima yenyewe
Cjui tatizo ni nini Mkuu maana nmejaribu kubadiliasha balbu ila ugonjwa n uleule
N.Tesla amefanya amazing sana ktk field Kilichopelekea kutomuona vitabuni ni kuwa hakuwa mwingereza waka muamerika ndio maana amekuwa hidden ,Faraday ni English physcist amefanya mengi ila kwa Tesla bado hamfikiiaisee mkuu naomba kufaham kati ya tesla na faraday ni nani aliekwa na mchango mkubwa katika swala zima la ugunduz wa umeme..maana enz hzo secondary tumekuwa tukimsoma sana faraday lakin nmekuwa nikisoma habari za huyu jamaa nicola tesla naona kama amefanya mambo meng pia kwe umeme maana mi nmesoma mtandaoni ila mengine ni ya kitaalamu zaid nmekuta nashnda kupata majibu maana taaluma yangu ni tofauti na haya mambo.
Ni economy facts ndio zinatupelekea tupendelee kusafirisha AC kuliko Dc Technical Ac inatabia moja ambayo ndio hutufanya tupendelee kuisafirisha over distance tabia hii ni kuwa ac unaweza kupandisha volts by using transformer hapo ukikuza volts current itapungua na kupelekea Kuhitaji waya wenye cross section area ndogo tofauti na dc ambayo haiwezi kuwa transformed, Current ikiwa ndogo ina minimize Losses na kuzidi ufanisi wa Transmission lines1. Kwanini umeme wa DC unaposafirisha toka sehemu moja kwenda nyinyinge voltage hupungua tofauti na AC?
2. Kwanini tunasafirisha umeme wa AC lakini vyombo vingi vya nyumbani vinaubadilisha kwenda kwenye DC ili uweze kutumika kwenye vyombo hivyo?
Mkuu kunakitu kinaitwa turbine maji ufungwa underwater ni mashine Rotary ufanya kazi kimakenikaliMaelezo kidogo jinsi umeme wa maji unavyozalishwa/kuvunwa mpaka kutumika(hydro electric power).
Na kwenye izi taa za tubelight kuna kale kadude(stata) kazi yake ni Nini?
aisee mwyw nmeshangaa sana maana nmemsoma tesla yaan amefanya mambo meng kwe umeme pengne amestahili kufahamika zaid ya faraday......tesla alikua bonge la kichwa yaanN.Tesla amefanya amazing sana ktk field Kilichopelekea kutomuona vitabuni ni kuwa hakuwa mwingereza waka muamerika ndio maana amekuwa hidden ,Faraday ni English physcist amefanya mengi ila kwa Tesla bado hamfikii
Hujajibu swali. Usiwe kama Juma Pombe MaharageR.i.p tesla mkuu hiki kiumbe cha pekee sana nadra sana kuvipata hapa dunian aliondoka na kipajichake