n2bra
Senior Member
- Sep 28, 2011
- 100
- 14
Hapo kuna mawili:Generator yangu inazima nikiwasha water pump (single phase), nitumie kifaa fani kuondoa tatozo hili, sitaki kubadili generator
1. Generator yako ni ndogo kuliko uwezo wa pump yako.
SULUHISHO: nunua generator inayoendana na size ya pump yako au funga hybrid system i.e ongeza solar
2. SETUP/CONFIGURATION
Hapa namaanisha kwamba tatizo la motor ni kunyonya umeme mwingi sekunde chache pale inapowaka.
SULUHISHO.
Hapa itakubidi ununue kifaa kinachotumika kupunguza huo umeme mwingi unaonyonywa na pump,kifaa hiki huwa kinaitwa MOTOR STARTER. kama pump yako ni kubwa nakushauri tumia DELTA_STAR STARTER kwa kuwa nirahisi kurekebisha mwenyewe endapo itahatibika ila kama unaujua umeme.
Au tumia aina nyingi ya starter inaitwa SOFT STARTER kwa kuwa hii ni special kwa pump za maji na ndio latest technology iliyopo hapa dunia.
NB. Soft starter ndio kifaa bora hapo japokuwa bei yake nayo imesimama