Ukweli usioujua kwanini unalipa bili kubwa ya umeme ingawa matumizi yako ni kidogo

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
970
1,461
Karibuni wakuu,

Ningependa kuanza kwa kusema

R.I.P Ruge Mutahaba,Mbele yake nyuma yetu.AMIN.

Leo nitazungumzia tatizo la matumizi ya umeme,ambalo kwa asilimia kubwa inawezekana wadau wengi wa umeme hawalijui.

Huu ni ukweli ulio fichika japo unaoleta hasara kubwa kwa watumiaji wa umeme.

HII NDO HASARA UNAYOPATA KWA TANESCO KUKUINGIZIA UMEME MDOGO KATIKA JENGO LAKO.

Ningependa wataalam mbalimbali wa umeme wanikosoe pale nitakapo onekana nimekosea,ili kuweka hii kitu sawa.

Pia kwa mdau wa hii mada ningependa ufatilie hatua kwa hatua,sababu ukiruka tu kisehemu unaweza usielewe.

Ifahamike kuwa TANESCO wanakulipisha umeme kulingana na matumizi yako ya umeme.

Ambapo gharama ya umeme kwa UNIT 1 ni wastani wa Tsh 345.

1unit = Tsh 345/- (kwa wale wa makazi ya kawaida)

Na kimahesabu 1UNIT = 1Kilowatt hour (1kwh)

Hii ikiwa na maana kwamba kama unavifaa vyenye jumla ya watt 1000,vifaa hivyo vikiwaka kwa saa 1 vitatumia unit 1.(hivyo utakuwa umetumia Tsh 345)

Unapo sema watt maana yake unazungumzia uwezo wa kifaa kufanya kazi flani yaani watt ya kifaa =power ya kifaa.

Na power ya kifaa inaundwa na vitu vikuu vitatu ambavyo ni VOLTAGE, CURRENT + POWER LOSS

P=Voltage X Current.

Ifahamike kuwa kila kifaa kimeundwa kwa mahitaji flani ya Voltage na Current ili kiweze kufanya kazi yake kwa ufasaha.

Endapo kimoja wapo hakitakuwa sawa kuna mambo hasi ambayo yatatokea.

Tatizo la umeme mdogo linazikumba karibia nyumba nyingi.

Watu wengi hujua wana umeme mdogo kama wakiona taa zinafifia,baadhi ya vifaa haviwaki,au utendaji wake unapungua.

Lakini ukweli ni kwamba hata wewe mwenye nyumba ambayo vifaa vinafanya kazi vizuri,huoni taa kufifia,wala vifaa kupunguza uwezo wake wa kufanya kazi unauwezekano wa kuwa na tatizo la umeme mdogo japo tatizo hulioni kwa macho.

Tatizo la umeme mdogo(low voltage) huweza kutambuliwa kwa kipimo kinacho itwa VOLTMETER.

Unatakiwa upime umeme katika nyumba yako na upate angalau uwe zaidi ya 210 AC VOLTAGE wakati na muda wowote.

Kuna aina mbili za umeme mdogo

1.Umeme mdogo kwa kipindi kifupi kwa siku ambao unatokea kipindi cha matumizi makubwa (kuanzia saa 10 jioni hadi saa 6 usiku).
2.Umeme mdogo wakati wote.Wenye tatizo hili wakati wote wao huwa na umeme mdogo(low voltage),na tatizo hilo huwa kubwa zaidi kipindi cha matumizi makubwa (saa 10 jioni hadi saa 6 usiku).

Tutizame swala hili linavyo athiri

Mfano.

(a)Nyumba ya Mzee Juma inavifaa vyenye jumla ya watt 300,ambavyo vinatumia umeme wa volt 220.

Umeme unaoingia katika nyumba yake ukipima ni 220 voltage

*Mzee juma hanatatizo la umeme mdogo anapokea voltage 220 wakati wote

Mzee Juma anatumia masaa 10 kila siku kuwasha vifaa vyake.

Je mzee Juma atalipa kiasi gani kwa gharama za umeme?

Majumuisho

Jumla ya watt ya vifaa vyote ni =300 watt
Muda = masaa 10
Voltage = 220V

300watt x 10hrs = 3000 watt hour

Kubadilisha 3000whr kupata idadi ya Unit,

kwanza tutagawanya 3000whr kwa 1000 tupate kilowatt hour (kwh).

3000whr/1000=3kwh.

UNIT 1=1KWH hivyo
3KWH = 3UNIT

Gharama ya unit moja ni
1UNIT = Tsh 345

Hivyo 3UNIT x Tsh 345 = 1035.

Hivyo mzee juma atalipa Tsh 1035 kwa siku,ambapo kwa mwezi ni

tsh 1035 x siku 30 = 31050 tsh

Kwa mwaka = 31050 x 12 = 372600 tsh

Mfano 2.

(b)Nyumba ya Mzee Musa inavifaa vyenye jumla ya watt(power) 300,ambavyo vinahitaji umeme wa volt 220 kutimiza power hiyo.

Umeme unaoingia katika nyumba yake ukipima ni 160 voltage

*Mzee Musa nyumba yake inatatizo la low voltage anapata umeme kiasi cha volt 160 badala ya 220.

Mzee Musa anatumia masaa 10 kila siku kuwasha vifaa vyake.

Je mzee Musa atalipa kiasi gani kwa gharama za umeme?

Majumuisho

Jumla ya watt(power) itakayo zalishwa na vifaa vyote ni =300 watt
Muda = masaa 10
Voltage = 160V

*Zingatia
Ni kweli mzee Musa anavifaa vilivyo na watt 300, vinavyohitaji volt 220,lakini kwa bahati mbaya line ya umeme ya mzee Musa inaingiza kiasi cha 160voltage badala ya 220.

Vifaa vya mzee Musa viki pokea umeme huo mdogo,watts nini kitatokea?

*Voltage ikishuka Current huongezeka,na Resistance hubakia vilevile haibadiliki.

Kwanza Tufahamu kiwango kiasi gani cha current ambacho kilitarajiwa kuzalisha watt 300,kama umeme ungekua sahihi,yani 220.

Current=Watt/Voltage

Current=300/220 =1.364

Vifaa vya mzee Musa vingehitaji kiasi cha 1.364 Ampere,kuzalisha kiasi cha 300 watt(power)

Kwakuwa umeme ambao vifaa vya mzee Musa vinapokea ni kidogo Current itabadilika,itakua hivi..

Current = watt/voltage

Current= 300/160 =1.875 Ampere.

Vifaa vya mzee Musa vitahitaji Current kiasi cha 1.875 kwa sasa baada ya kupewa umeme mdogo wa 160,badala ya 220 ili kuzalisha ileile 300 watt.

Hivyo basi...
Vifaa vitakua vinafanya kazi kwa kuzalisha power ileile licha ya voltage kidogo,kwa msaada wa kuongezeka kwa current,

Kitendo cha vifaa kuzalisha nguvu ile ile,hata baada ya voltage kupungua,kwa msaada wa kuongezeka kwa Current husababisha tatizo la vifaa hivi kupata moto,hivyo kupoteza nguvu nyingi wakati vinafanya kazi.Na hivyo kusababisha kuongezeka kwa kitu kitaalamu kinaloitwa POWER LOSS.

Power loss ni nguvu ambayo hupotea bila kufanya kazi,ni kawaida kwa kitu chochote kinacho fanya kazi kuwa na kiasi flani cha power loss.

Kwa kawaida power loss hutakiwa kuwa asilimia ndogo kati ya 5% hadi 15% na working power inatakiwa iwe kati ya 85% hadi 95%

Ukweli ni kwamba Tanesco wao wanakuchaji gharama za matumizi yanayo jumuisha vitu vyote viwili yaani unalipia power loss na working power

Electrical bill = Power loss +Working power

Kanuni ya kutafuta Power loss ni

Ploss = Current square x Resistance

Umeme una variables kuu tatu ambazo ni.

Voltage,Current,Resistance.

Kati ya hivi vitatu,ni resistance pekee ndiyo haibadiliki badiliki,kutokana na kubadilika badilika kwa hawa wenzake wawili yaani voltage na current.

Kwa mujibu wa kanuni ni lazima kuitafuta Resistance(R),ili ije kutusaidia kujua nguvu inayo potea (power loss)

Resistance utaipata kwa kutumia kiasi cha voltage inayo hitajika na vifaa ambayo ni 220,pamoja na jumla ya watt(power) inayotakiwa kuzalishwa na vifaa vyote ambayo ni 300.

Kanuni ya kupata Resistance ya vifaa,ikiwa tayari tunajua watt na voltage vifaa ni hii hapa.

Resistance =Watt/Current square

Resistance =300/1.364 x 1.364 =161 ohms.
R=161.

Ukinzani wa vifaa vya mzee musa ni 161.

Hivyo
Ploss itakua kama ifuatavyo.

Ploss =Current square x Resistance.

Ploss = (1.875 x 1.875 ) x 161

Ploss = 3.51 x 161 =565 watts

Chukua watt ya low voltage na utoe na watt ya vifaa.

565watt - 300watt =265watt

Ploss = 265watt

Kiasi cha nguvu kinachopotea ni =265 watt

Hapa unaona power loss ni zaidi ya asilimia 45%

Hii maana yake kiasi cha 45% ya nguvu kinapotea wakati vifaa vya mzee Musa vinafanya kazi ya kuzalisha watt 300.

Hivyo tunaona kuwa kutokana na umeme mdogo(low voltage) kiasi kikubwa cha nguvu ya umeme kitapotea katika kuhakikisha vifaa vinazalisha nguvu ile ile iliyo kusudiwa.

Hivyo Mzee musa yeye anavifaa vya watt 300,kama vingepata umeme sahihi wa 220,lakini kwa bahati mbaya umeme unamfikia mzee huyu ni kiasi cha 160,hali iliyosababisha vifaa vyake kuongeza power loss na hivyo jumla ya watt kufikia 565 watt.

Hivyo basi tuone mzee huyu atalipa kiasi gani?

Electrical bill =power loss +working power
Electrical bill =265 watt + 300 watt = 565 watt

565watt x 10hrs = 5650 watt hour

Kubadilisha 5650whr kupata idadi ya Unit,

kwanza tutagawanya 5650whr kwa 1000 tupate kilowatt hour (kwh).

5650whr/1000=5.65kwh.

UNIT 1=1KWH hivyo
5.65KWH = 5.65UNITS

Gharama ya unit moja ni
1UNIT = Tsh 345

Hivyo 5.65UNIT x Tsh 345 = 1949

Hivyo mzee Musa atalipa Tsh 1949 kwa siku,ambapo kwa mwezi ni

tsh 1949 x siku 30 =58470 tsh

Kwa mwaka = 58470 x 12 = 701640 tsh.

Tumeona kuwa mzee Juma na mzee Musa wana vifaa vyenye ukubwa sawa na wanawasha kwa masaa sawa ila mzee Musa analipa bili kubwa kwa mwezi kuliko mzee Juma.

Tofauti yao imesababishwa na umeme mdogo (low voltage).

Je hasara inayosababisha na umeme mdogo Tanesco hawaijui?

Hasara inayo sababishwa na low voltage inajulikana na Tanesco,naamin hivyo sababu wao ni wataalam zaidi.

Je kuna hatua yoyote ambayo Tanesco wamechukua kukabiliana na hili?

Kwa utaalamu wangu naweza sema ndiyo kama mdau wa umeme nimeshuhudia Tanesco wakibadili transformer ndogo na kufunga kubwa,kukabiliana na tatizo la umeme mdogo.

Pia Tanesco katika baadhi ya nyumba walifunga meter ambazo zikiona umeme umeshuka sana,zinakata umeme,kumuepushia mteja hasara,na umeme ukirudi sawa zinawasha umeme.

Japo kwa bahati mbaya meter hizi zimekuwa zikichukiwa na wateja,wakiziita mita feki au mbovu,sababu tu znawazimia umeme wakati wa low volage.Ukweli meter hz siyo mbovu,zimeundwa kumuepushia mteja hasara hiyo niliyo ichambua hapo juu japo zinakera!

Je kama Tanesco wakiniingizia umeme ambao haushuki chini ya 210,nitaepukana na hasara hii?

Jibu ni ndiyo utaepukana na hasara hii kwa asilimia 80 hadi 90,endapo tu "continuity" zote za wiring yako zipo sawa na Vifaa vyako havina leakage na voltage yake inafanana na ile ya Tanesco.

Je naweza kujiongezea au kujisababishia tatizo hili mimi mwenyewe hata kama Tanesco wameniingizia kiasi sahihi cha umeme?

Ndiyo ununuaji wa vifaa ambavyo vinahitaji voltage kubwa kuliko ile inayo zambazwa na Tanesco majumbani itaweza kukuletea tatizo hili,mfano kununua vifaa vya umeme vinavyo hitaji voltage kuanzia 240 na kuendelea (hasa vya mitumba vinakuaga na tatzo hili,kwenye lable zake za voltage utakuta wameandika kifaa kinahitaji volt 240,au 250),wakati Tanesco yetu wanatusambazia 220V.

SOLUTION YA TATIZO HILI.

Fahamu kuwa uwepo wa tatizo hili katika nyumba yako,unakusababishia wewe ulipe gharama ya umeme karibia mara mbili ya matumizi halisi.

Unaweza kuwa na vifaa vichache,tena vina nguvu ndogo,na bado ukajikuta gharama ya umeme ipo juu.

Mafundi wakija hawaoni tatizo katika wiring,basi ujuet LOW VOLTAGE IS WHAT EATING YOUR MONEY!

Kuna solution aina mbili

(A).Solution ambayo huwezi tumia gharama (free service)kutatua changamoto hii.

1.Nenda Tanesco waambie kuhusu tatizo la umeme mdogo,uombe wakubadilishie line wakupe yenye umeme sahihi.

2.Nenda tanesco waambie wakufungie mita ambayo inazima umeme kunapokuwa na low voltage,na kujiwasha kunapokuwa na umeme sahihi(japo waliofungiwa mita hizi wanakereka sana.)

3.Kama unakuwa na umeme mdogo kipind flani tu kwa siku,zima vifaa vyako kipindi cha umeme mdogo na uje uviwashe umeme ukikaa sawa!

B)Solution za kutumia gharama.

Wasiliana na LiB company tukufungie vifaa vifuatavyo kupambana na tatizo hili.
1.Funga kifaa kinacho itwa power dumper.

Ni kifaa kinachokusaidia kuondoa tatizo la bili kubwa ya umeme kwa kutumia technolojia kuu nne.

(i)Automatic voltage boosting technology,kifaa hiki kinaboost kiwango cha voltage ili kiwe kile kinacho takiwa,bila kujali umeme utashuka kiasi gani,umeme utapndishwa hadi 220v katika nyumba yako.

ii)Voltage surge remover,hii husaidia kuondoa surge ambazo zinaweza kuongezatatizo la power loss.

iii)Voltage filtering,hii husaidia kuondoa ile hali ya umeme kushuka ghafla na kurudi kiwango chake ndani ya sekunde,hasa hii ipo sana katika line ambazo zimeunganishwa mashine kubwa kubwa,mfano viwanda vya mbao na kuchomelea.

(iv) Voltage optomization.

Hivyo power dumper,inaunganisha vitu hivi vitatu kuhakikisha unapata umeme safi.

Zipo power dumper ndogo za kifaa kimoja kimoja mfano jiko la umeme,motor za visima vya maji,motor za kawaida,mafriji na power dumper za nyumba nzima n.k

2.Auto timer water filling motor control.
Hiki ni kifaa ambacho kinatumika na watu wenye visima vya maji.

Kifaa hiki,huwasha motor na kujaza maji katika tank automatic,

Na maji yakisha jaa kinazima motor automatic.

Kifaa hiki kinawasha motor na kujaza maji muda utakao seti wewe,kwa kawaida muda ambao umeme hua wa kutosha ni saa nane usiku hadi saa kumi afajiri.

Hivyo kifaa kitawasha motor muda huo
ili kuepuka motor kula umeme mwing lakin pia motor kuungua sababu ya kupokea umeme kidogo.

Lakini ukifunga power dumper ya motor ya maji,huna haja ya kifaa hiki utakua unawasha motor wakati wote sababu utakua na umeme wa kutosha.

Vifaa vyetu vinatengenezwa kwa oder,baada ya kuweka oda mafundi watakuja kupima nyumba yako ili wapate taarifa muhimu zitakazo saidia kuundwa kwa kifaa chako.

2.VIFAA VYA MADUKANI VYA KUONDOA TATIZO HILI.

Madukani kuna vifaa vinaitwa voltage optomizer(vifaa hivi vinatumia mbinu kubwa tatu)

i)kupunguza umeme kwa kifaa ambacho kikipunguziwa umeme kwa kiasi flani gharama ya matumiz inapungua.

ii)kuongeza umeme kwa kifaa ambacho kikiongezewa umeme kwa kiasi flani gharama yake ya matumizi inapungua.

iii)Voltage filtering.

Vifaa hivi vya madukani,vinaweza kukusaidia kuondoa tatizo hili.

*Stabilizer au Voltage regulator za kawaida haziwez kukusaidia kuondoa tatizo hili.

HUDUMA ZETU ZA KAWAIDA.

LiB company

1.Tunafanya wiring majumbani na viwandani

2.Tunakagua wiriring za nyumba,na kupima uzima wa vifaa vilivyo tumika,ili kuepuka majanga ya umeme mfano moto,au upotevu wa umeme

3.Tunafanya Continuity test ya wiriring za majumbani kukagua kuvuja kwa umeme,kunako kuongezea gharama za ziada ya umeme.

3.Tunafanya full wirering checkup ya wire size,fusing size,circuit breaker size,earth wire continuity test.

Checkup zote zinajazwa katika form maalumu ambayo itabaki kwako kwa matumizi ya ukaguzi ujao.

Gharama zetu ni Tsh 20,000 tu kwa checkup zote pamoja na form.

Piga 0629068815 sasa tuje tukuhudumie.

Pia unaweza kusoma makala zangu kuhusu umeme hizi hapa

Hizi ndizo siri kubwa kwanini unalipa bili kubwa ya Umeme kuliko matarajio yako - JamiiForums

Tech, Gadgets & Science Forum

Tech, Gadgets & Science Forum

Ondoa tatizo la umeme mdogo katika makazi yako au eneo lako la kibiashara - JamiiForums

Mkuu kama mteja anadai kuwa ana nunua units 72 zinaisha kwa siku 28 je unamshahuli afunge kifaa cha voltage optimizer?
Kufunga optimezer ni hatua ya mwisho baada ya kukagua na kuridhika kuwa nyumba ya mteja.

1.Ina low voltage
2.vifaa alivyonavyo haviendani na bili anayolipa.
3.Continuity test zimeonyesha wirering haina shida.

Baada ya hapo ndio tutamshauri afunger optomizer kwenye kifaa kinacho athiriwa na low voltage kwa kusababisha matumizi makubwa.
 
Mkuu,
Napenda nifafanue kipengere cha Pili,cha Mzee Musa,ambaye vifaa vyake ni 300W,at 220V.
Lakini umeme unaofika ni 160V.

Katika kanuni ya OHMS LAW,=V/I=R.
Voltage ikipungua,na current hupungua.
Current=rate of flow of charges.
Voltage=ni force inayosukuma hizo charges.
Kama force(voltage)inayosukuma charges(current)imepungua,current haiwezi kuongezeka.(wewe ulisema current itaongezeka sio kweli,inaongezwa na nini?)

Tuje kwenye hesabu,
Resistance ya vifaa vya Mzee Musa ni 161.
Power=(V×V)/R,
Then R=V*V/power,=220*220/300w,
Kwahiyo voltage zikipungua,zikawa 160V,current inayopita kwenye vifaa itapuñgua pia,itakuwa,
160V/161,=.994A.
Na vifaa badala ya kuzalisha 300W,vitazalisha power kidogo,
.994*.994.161=159W,au 160Vx160V/161resistsnce=159W.
Kwa vile muda wa matumizi ni SAA 10,
Mzee Musa atatumia 159x10Whr=1.59units,badala ya 3units alizotumia wakati umeme upo vzr at 220V.

Kwa maelezo hayo gharama kwa siku itapungua,na kwa mwezi pia.
Yapo madhara ya kutumia vifaa kwa low voltage,lakini nilitaka kwa Leo ,nirekebishe ulichosema,kwamba voltage zikipungua,current inaongezeka,sio kweli,Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nna Friji na tivii na deki, Nitumie stabilaiza ya watts ngapi, niliyonayo ya watts 2000,nahis km inakula sn Umeme hii stabilaizer kutokana labda ina watts kubwa
 
Back
Top Bottom