Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

aisee mkuu naomba kufaham kati ya tesla na faraday ni nani aliekwa na mchango mkubwa katika swala zima la ugunduz wa umeme..maana enz hzo secondary tumekuwa tukimsoma sana faraday lakin nmekuwa nikisoma habari za huyu jamaa nicola tesla naona kama amefanya mambo meng pia kwe umeme maana mi nmesoma mtandaoni ila mengine ni ya kitaalamu zaid nmekuta nashnda kupata majibu maana taaluma yangu ni tofauti na haya mambo.
kati ya faraday na tesla wote wana mchango mkubwa ktk umeme tesla ndio mgundunzi wa umeme mkondo geu a c na faraday ali discovered an import basic for consumer electronic but tesla ni mtundu sana
 
kati ya faraday na tesla wote wana mchango mkubwa ktk umeme tesla ndio mgundunzi wa umeme mkondo geu a c na faraday ali discovered an import basic for consumer electronic but tesla ni mtundu sana
mkuu thanks kwa majibu mazuri but umeniancha hapo kwe blue
 
Nataka kufunga umeme wa solar,je kuna uhusiano wa inverter watts,battery N value na solar pannel watts ? Je kama upo relationship yake ipo vipi? Mfano Inverter ya watts xx inahitaji Battery ya Nxx na Solar pannel ya watts xx nataka jibu kama hivyo.
 
mkuu thanks kwa majibu mazuri but umeniancha hapo kwe blue
Mkuu kivipi aise keybord nazo zina sumbua important basic for consumer electronic ila faraday born 1798 tesla born 1856 kipaji ni bora kuliko elimu
 
Umeme ni mtiririko wa Electrons Kama umesoma vizuri structure of matter utagundua kuwa electrons ni iko nje na orbit Nuclear ambapo nuclear ina Protons and Neutrons, Sasa kila Material yana external structure ya Electrons na Orbit hizi tunaita Valance orbit ambapo ndio hudetermine nature na sifa ya material. Valance shell ni shell ya mwisho ktk element hii ndio ita tu guide kusema hii metal,Non metal au Semiconductor ,Electrons ina mass ndogo mno yani huwa iko negligible Kuna kitu tunaita EMF hii ni force ambayo huitoa electrons ktk shel yake na kuiforce hii ndio pressure yenye kutoa mzukumo wq kupush electrons na tunaipima kwa Kutumia Volts,Umeme husafiri kwa kupitia Conductor yani material yanayo offer low resistance ya kuruhusu chargi kupita easly mfano silver is best one ikija copper,alluminium sambaba na zinginezo kama brass,iron gold etc
Mkuu hebu jitahidi kuandika katika mtindo ambao hata layman nielewe elewe, yaani nimetoka juu hadi chini halafu sijaambulia kitu.
 
Nataka kufunga umeme wa solar,je kuna uhusiano wa inverter watts,battery N value na solar pannel watts ? Je kama upo relationship yake ipo vipi? Mfano Inverter ya watts xx inahitaji Battery ya Nxx na Solar pannel ya watts xx nataka jibu kama hivyo.
Mkuu hivyo vitu vina husiano kwa mfano solar pannel watt 10 ukaunga nisha na kibetry cha pikipiki watt 12 bila inverter utapata mwanga tu ila ningependa ufike duka la solar lilopo karibu wakufahamishe uwaelezee matumizi ya umeme wako ambao utahitaji kuunganisha
 
Mkuu hebu jitahidi kuandika katika mtindo ambao hata layman nielewe elewe, yaani nimetoka juu hadi chini halafu sijaambulia kitu.
Mkuu umeme ni matokeo ya electron kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine
umeme ni neno pana sana
linalojumlisha mambo
mbalimbali ambayo yote
yanahusiana na kuwepo kwa
chaji ya umeme.
 
Mkuu sir isack Newton alikua na mchango gan kwenye umeme...if any
 
Naomba ufafanuzi zaidi ndugu
kwenye nguzo ya tanesco huwa inaleta nyanya 4, sa phase 1 unapewa nyaya 2(wenye moto m1 na netrual m1) phase 3 unapewa zenye moto 3 na neutral 1, ndo maana kama una phase 3 unakuwa na umeme mwing hata kiwanda unaweza fungua kwako, na kama ukikatka kuna switch umeme unakuwepo kwingne hamna umeme! npo tayari kurekebishwa
 
  • Thanks
Reactions: me1

Hii ilishafanywa na Tesla zaman zaman sana.Sijajua kwanin imekua ngumu kuimplent kwa sasa
kuna k2 knaitwa power distortation upoteaji wa nguvu toka point one to another, gharama ya ku2mia wifi itakuwa kubwa yani vfufuaj vnatakiwa viwe vng kama minara ya simu, khngne vfo vtakuwa vng kwa waokota vyuma
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
Kilowatt 1 ni sawa na unit ngapi kwa saa?
 
Kuna jamaa yangu aliandaa eneo( chumba) kwa ajili ya kuweka machine ya kusaga mafaka mainswitch ya njia
 
Kuna jamaa yangu aliandaa eneo( chumba) kwa ajili ya kuweka machine ya kusaga mafaka mainswitch ya njia
Kubwa ajili hiyo ila tsnesco wakamwambia umeme hautoshi akabadiri matumizi! Kulikuwa kuna haja gani ya kudirisha main switch?
 
Kwanini kadi nyekundu na ukimwi vikaitwa umeme.kuna uhusiano gani hapo?
 
Calculate too mkuu hapo 1 horse power ni watts. 746Watts chukua power zidisha na muda utapata Energy consumed in term of KwH ambapo I kWh ni unit moja

Hapo haujanipa jibu mkuu, sijakupata kabisaaaa, maana bado umenieleza kitaalamu sn
 
Mkuu sir isack Newton alikua na mchango gan kwenye umeme...if any
Mkuu newton mchango wake ni mahesabu tunayo yatumia kwa mfano nguvu ya kimakenikali power =workdone\time=force x distance\second=watt pia katika umeme tunapotafuta efficiency ya machine =volt out x current\volt in x current in x 100% mkuu vipo vingi sana mchango wake mwingi ni mahesabu
 
Physics imeshavapor sahv nmesahau mambo kibao...
 
Ac ya HP 1 na HP2 zinatumia umeme unit ngapi kwa masaa 12
Kwa maelezo rahisi HP 1 itatumia unit tisa (9) na HP 2 itatumia mara mbili yake.

Hii hesabu itaongezeka kidogo kutokana na AC hutumia umeme mkubwa wakati wa kuanza kuwaka japo hesabu haiendi mbali sana na hapo.
 
Back
Top Bottom