Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.

Mkuu ningependa kujua kama nyumba inapokea umeme kama kawaida. Ila mita ndio imezima haisomi chochote kwenye display yake.tatizo n nini??
 
Afadhali nimepata mtu wa Umeme, kaka siku si nyingi nitakupm swali lako LA umeme utupe utaalam ..!
 
Je mpangaji anaruhudiwa kumiliki separate miter inayoonyesha kiasi gani anatumia kwa mwez. .kinauzwa bei gani
 
  • Thanks
Reactions: me1
dan marco and meone asante sana mtaniwia radhi wakuu simu yangu imeingia kitatizo ila sio mbaya kwa yoyote kuliza swali na ukajibiwa na mtu yoyote najua humu ndani kuna magreat wa umeme zaidi yangu ndio maana nikasema uliza hapa na wala si kuuniuliza mm tu pekee
 
Application ya electromagnetism inachangia vipi ukuaji wa science na technology katika nchi zetu za africa
 
Je hata mawe yana umeme? Maana ukiyagonganisha kwa nguvu hutoa cheche za moto. Je Umeme una safiri pamoja na sauti maana huwa nasikia shoti zikipiga kwa sauti paaaaah?
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.


Love electrical, i love current.
aisee mkuu naomba kufaham kati ya tesla na faraday ni nani aliekwa na mchango mkubwa katika swala zima la ugunduz wa umeme..maana enz hzo secondary tumekuwa tukimsoma sana faraday lakin nmekuwa nikisoma habari za huyu jamaa nicola tesla naona kama amefanya mambo meng pia kwe umeme maana mi nmesoma mtandaoni ila mengine ni ya kitaalamu zaid nmekuta nashnda kupata majibu maana taaluma yangu ni tofauti na haya mambo.
 
1. Kwanini umeme wa DC unaposafirisha toka sehemu moja kwenda nyinyinge voltage hupungua tofauti na AC?
2. Kwanini tunasafirisha umeme wa AC lakini vyombo vingi vya nyumbani vinaubadilisha kwenda kwenye DC ili uweze kutumika kwenye vyombo hivyo?
 
Je ni lini tutaacha kutumia cables kwa ajil ya electric transfer ,badala yake tutumie mfumo wa wifi majumbani ili tutokomeze ajali zinazosababishwa na short no?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
Hebu nielimishe kuhusu invetor.. hivi ukitumia kifaa hiki kwenye umeme wa jua ina maana huna haja ya kubadilisha mfumo wa umeme wa tanesco?
 
mkuu invetor inabadili umeme wa jua dc kuwa a c umeme ambao ni ule wa tanesco na ukihitaji kubadili umeme wa tanesco ambao ni ac kuwa dc kama ule wa solar inabidi uwena kifaa kiitwacho rectifier
 
Back
Top Bottom