Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

Ni economy facts ndio zinatupelekea tupendelee kusafirisha AC kuliko Dc Technical Ac inatabia moja ambayo ndio hutufanya tupendelee kuisafirisha over distance tabia hii ni kuwa ac unaweza kupandisha volts by using transformer hapo ukikuza volts current itapungua na kupelekea Kuhitaji waya wenye cross section area ndogo tofauti na dc ambayo haiwezi kuwa transformed, Current ikiwa ndogo ina minimize Losses na kuzidi ufanisi wa Transmission lines
Kumbe ni mwanaelectronics mwenzangu[emoji106]
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.
......
Love electrical, i love current.
1. Ni lini Tanzania itaweza kuzalisha umeme wa kutosha kwa ajili ya wadanganyika na kwa ajili ya viwanda hewa?

2. Kuna uhusiano gani baina ya Tanesco kushusha bei ya umeme kwa asilimia 1.1 kwa ajili ya mwaka 2016 na Tanesco kupandisha bei ya nishati hiyo kwa asilimia 18.19 . baada ya kubainika kuwapo pendekezo la awali la kushusha bei ya umeme kwa asilimia 7.9 mwakani.

3. Ni lini Prof. Muhongo atajiuzulu au kutenguliwa?

Link Ewura yashusha umeme bei hatimaye

Link2. Ombi la Tanesco kupandisha bei ya umeme kwa 18% laibua mapya

Hayo maswali yanahusu umeme, mkuu
 
1. Kwanza kabisa sio kweli kwamba DC hupungua na AC haipungui.Aina zote hupungua voltage (voltage drop)
Pili, umeme wa dc una faida nyingi zaid hasa unaposafirishwa kwa umbali mrefu zaidi (beyond break even distance)

2.Shida moja ya dc ni kuubadili kutoka level moja had nyingine.Kwa vile kwa AC ni rahis ndio mana AC inatumika.
AC una uwezo wa kuifanyia step up or down vp dc
 
umeme umevuta lini? haiwezekani kuwe na nyaya moja 2 inayoleta umeme, sema wamezisokota ukiangalia inakuwa moja 2 ila angalia wanapochukulia umeme zmeunganishwa ngapi toka kwenye nguzo,
Umeme nimevuta mwaka huu mwezi kama wa tano hivi. Ni kwamba zinafika nyaya mbili kwenye nguzo ila kutoka kwenye nguzo kuja kwenye nyumba naona waya mmoja, labda nichunguze kiukaribu zaidi yawezekana ziko mbili ila wamezisikota.
 
1. Ni lini Tanzania itaweza kuzalisha umeme wa kutosha kwa ajili ya wadanganyika na kwa ajili ya viwanda hewa?

2. Kuna uhusiano gani baina ya Tanesco kushusha bei ya umeme kwa asilimia 1.1 kwa ajili ya mwaka 2016 na Tanesco kupandisha bei ya nishati hiyo kwa asilimia 18.19 . baada ya kubainika kuwapo pendekezo la awali la kushusha bei ya umeme kwa asilimia 7.9 mwakani.

3. Ni lini Prof. Muhongo atajiuzulu au kutenguliwa?

Link Ewura yashusha umeme bei hatimaye

Link2. Ombi la Tanesco kupandisha bei ya umeme kwa 18% laibua mapya

Hayo maswali yanahusu umeme, mkuu
Weka siasa pembeni, sio kila kitu unaingiza siasa!
 
Tatizo ya mejikita ki political mkuu not maintanance
 
Mkuu ni technique gani ya kufanya kwenye mita ili nizuie umeme wa luku usiishe mapema?

Natanguliza shukrani
Hivi Tanesco wamemaliza ile operation yao ya kukamata wezi wa umeme??
 
Ni upi uwiano wa winding kwenye transfomer Ikiwa nataka secondary itoe voltage ya 45 na current ya 5
 
Kama tatzo hilo hutokea hata kwa siku ambazo hakuna radi basi angalia switch ya taa yako.Huenda haifanyi kaz vyema

Mkuu nahisi jamaa atakuwa anazungumzia taa ,bulbu ya energy server aisee.

Hilo lipo sana
 
Nifanyeje ili niwe natumia umeme wa bure Mkuu?
Mkuu chukua waya mita kazaa urefu kutoka nyumba yako mpaka kwenye nguzo za tanesco panda juu ujiunganishie mkuu elimu bure umeme buree
 
Umeme ni mtiririko wa Electrons Kama umesoma vizuri structure of matter utagundua kuwa electrons ni iko nje na orbit Nuclear ambapo nuclear ina Protons and Neutrons, Sasa kila Material yana external structure ya Electrons na Orbit hizi tunaita Valance orbit ambapo ndio hudetermine nature na sifa ya material. Valance shell ni shell ya mwisho ktk element hii ndio ita tu guide kusema hii metal,Non metal au Semiconductor ,Electrons ina mass ndogo mno yani huwa iko negligible Kuna kitu tunaita EMF hii ni force ambayo huitoa electrons ktk shel yake na kuiforce hii ndio pressure yenye kutoa mzukumo wq kupush electrons na tunaipima kwa Kutumia Volts,Umeme husafiri kwa kupitia Conductor yani material yanayo offer low resistance ya kuruhusu chargi kupita easly mfano silver is best one ikija copper,alluminium sambaba na zinginezo kama brass,iron gold etc
wewe inaonekana unaujua umeme in and out lakini mleta maada nahisi ni veta kabisa. hajui hata tofauti ya 3phase na single phase
 
Back
Top Bottom