Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Ule mkaa huchanganywa na chumvi pia na kazi ya mkaa na chumvi ni kumaintain unyevu pale kinapoishia kile chuma cha shaba(earthrod) ambacho ndicho huunganishwa na huo waya uliousema.Asante Dan Marcon...VP kuhusu mkaa ambao huwekwa pamoja na huo waya Kama nilivyouliza post ya juu