msold msward
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 595
- 202
Vyombo kuungua ni rahisJe transformer haiwez washwa kuhudumia nyumba 3 kwa matumiz ya kawaida?
Vyombo kuungua ni rahisJe transformer haiwez washwa kuhudumia nyumba 3 kwa matumiz ya kawaida?
Mkuu chumvi haisaidii chochote bali ukiukuta mdongo mfinyanz ndio inamaliza matatizo yakoNa Je usipo weka chumvi na mkaa unapochimbia eth wire za solar panel Je Umeme utapotea?
Maan tumefungiwa panel za solar Wat ndogo ni Wat 200 na zilkuja na box lenye inveter na betry ya ndani na linawekwa betry 2 kubwa zile za kawaida Lakin Umeme wake unaisha haraka sana tunashindwa elewa ni kwasababu hawakuweka chumv na mkaa? Maana Wat kubwa kabisa ya ofcn ina Wat 360 Lakin hakuna moto na ukiwepo unawahi kuisha haraka
Naomba ufafanuzi hapo.....
Aaah maana hawa rea wameweka transformer Lakin hawajawasha na watu walio fanya wiring wapo wa3 tu ko nikajua hawawashi kwasababu waliosuka ni wachache.....Vyombo kuungua ni rahis
Sasa kwa huku udongo mfnyanz haupoMkuu chumvi haisaidii chochote bali ukiukuta mdongo mfinyanz ndio inamaliza matatizo yako
Tumia iyo kama njia mbadala kuweka chumvi chokaa mkaa na maji mengi inasaidia earth load kuchelewa kupata kutuSasa kwa huku udongo mfnyanz haupo
Kwamba watafunga mita Lakin hawataruhusu? sasa huu Umeme vijijin si hauna maana sababu unashangaa walio suka kwa wakati huo ni kaya 4 sasa wasiwashe kisa ni wachache?Kuna nyumba zitawekewa lakin hawata washiwa
Poa poa mkuu ngoja tuone itakuaje maana zimefungwa hata mwez haujaishaTumia iyo kama njia mbadala kuweka chumvi chokaa mkaa na maji mengi inasaidia earth load kuchelewa kupata kutu
hii project ilikua abandoned 1906 mainly due to finances,..,.Hii ilishafanywa na Tesla zaman zaman sana.Sijajua kwanin imekua ngumu kuimplent kwa sasa
Mkuu nafikiri sio Finances tu ilisababisha kukwamisha hii project wapo walio muona Nikola Tesla atavuruga biashara za Electrical materials kama Conductors mfadhili wake mkubwa J.P morgan aligoma kuifadhili baada ya kufanya analysis ya outcomes kama ikiwa Completed na iko work properlyhii project ilikua abandoned 1906 mainly due to finances,..,.
Asante for the infoMkuu nafikiri sio Finances tu ilisababisha kukwamisha hii project wapo walio muona Nikola Tesla atavuruga biashara za Electrical materials kama Conductors mfadhili wake mkubwa J.P morgan aligoma kuifadhili baada ya kufanya analysis ya outcomes kama ikiwa Completed na iko work properly
Kwanza tambua hicho kizio cha unit kinamaanisha kilo-watts hour au watts 1000hour.Mkuu, watts 1 ni sawa na unit ngapi?
Kwa jibu hili naona kabisa umeme hauna utaalamu nao ila umeanzisha tuu hii thread kutafuta sifa lakini unadhalilisha professional za watu maana majibu sio ya mtu anaeonekana kasomea umeme kwa kiwango chakuweza kuuchambuaMkuu hivyo vitu vina husiano kwa mfano solar pannel watt 10 ukaunga nisha na kibetry cha pikipiki watt 12 bila inverter utapata mwanga tu ila ningependa ufike duka la solar lilopo karibu wakufahamishe uwaelezee matumizi ya umeme wako ambao utahitaji kuunganisha
1)sina uhakika kama hizo data ni za kweli ila ninajua kwamba power ikiwa=>12kW inakubidi utumie 3ph supply(1)je km nyumba ikiwa na kw 10 ni kwanini wana lazimisha uingize umeme wa 3 phase
(2) earth resistance katika nyumba nzuri tukipima na earth tester inatakiwa iwe na kiwango gani
Jibu lipo kwenye hii postNataka kujua kuhusu jinsi ya kuzima au kuwasha taa moja kwa zaidi ya switch moja
NB kwa mchoro if possible ukizingatia na nature ya switch zinazopatikana bongo
Alievumbua umeme alikua na uwezo kiasi gani kukushinda wewe unaeujua kwa kukalili?wewe binafsi kwa nini hujashughulisha akili yako kuvumbua vitu vipya vyitakavyoleta wepesi wa maisha kwa binadamu?kweni wewe hutaki kuandikwa na vitabu na ukaishi miaka elfu moja bila kutoka midomoni mwa watu?Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.
Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)
- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)
- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)
- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)
- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance
- James Watt
SI unit of power(w)
- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)
- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)
- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)
- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)
- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)
Love electrical, i love current.