Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

stabilizer hipi ni nzur kwa matumiz ya nyumbani..... TV... radio... Pasi na vingamuz
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
Mkuu bado upo?
Naomba kuuliza.
Kuna sola panel ila Diode 2 za 10A @ sasa nataka niweke ziwe 4. Je zitaleta ufanisi zaidi?
Panel ni w100
 
Back
Top Bottom