Uliza swali lolote kuhusu umeme

Uliza swali lolote kuhusu umeme

Hivi waya uleunaotoka na kuchimbiwa ardhini nje ya nyumba Kama sijakosea unaitwa waya wa earth kazi yake haswa ni nn? Pia huwa naona ukichimbiwa ardhini huwa wana weka mkaa hii husaidia nn?
 
Hivi waya uleunaotoka na kuchimbiwa ardhini nje ya nyumba Kama sijakosea unaitwa waya wa earth kazi yake haswa ni nn? Pia huwa naona ukichimbiwa ardhini huwa wana weka mkaa hii husaidia nn?
Ule waya ni kwa ajili ya usalama tu mkuu unalinda mtumiaji (consumer) kuwa protected na vitu kama Excess current or leakage yoyote vifaa vyote vyenye metal case huunganishwa na ule waya kitu kama friji au pasi ikitokea vimeungana na live waya wenye umeme basi mtumiaji hawezi pigwa short badala yake umeme huo uliovunjwa hurudishwa ardhini
 
Asante Dan Marcon...VP kuhusu mkaa ambao huwekwa pamoja na huo waya Kama nilivyouliza post ya juu
 
mkuu hivi flow of charges inapelekea vp umeme utokee? na unasafir vp kutoka kwenye source hadi kwa watumiaji?
Umeme ni mtiririko wa Electrons Kama umesoma vizuri structure of matter utagundua kuwa electrons ni iko nje na orbit Nuclear ambapo nuclear ina Protons and Neutrons, Sasa kila Material yana external structure ya Electrons na Orbit hizi tunaita Valance orbit ambapo ndio hudetermine nature na sifa ya material. Valance shell ni shell ya mwisho ktk element hii ndio ita tu guide kusema hii metal,Non metal au Semiconductor ,Electrons ina mass ndogo mno yani huwa iko negligible Kuna kitu tunaita EMF hii ni force ambayo huitoa electrons ktk shel yake na kuiforce hii ndio pressure yenye kutoa mzukumo wq kupush electrons na tunaipima kwa Kutumia Volts,Umeme husafiri kwa kupitia Conductor yani material yanayo offer low resistance ya kuruhusu chargi kupita easly mfano silver is best one ikija copper,alluminium sambaba na zinginezo kama brass,iron gold etc
 
Mkuu inawezekana matumizi yako kifanyacho kazi ni fuse ambazo ndio ina fungua sub circuit napatwa na mashaka na hivyo vyumba mkuu
Single Phase iko na constant rating ikiingia ktk main switch Basi hugawqnywa kupitia miniature circuit breaker
 
  • Thanks
Reactions: me1
Asante Dan Marcon...VP kuhusu mkaa ambao huwekwa pamoja na huo waya Kama nilivyouliza post ya juu
Mkuu ili Ule waya uwe na ufanisi yani efficieny basi tunahitaji hapo tulipoufukia pawe na hali ya unyevu nyevu muda wote ili tupate earth point safi kazi ya mkaa ni kuvuta maji au kufanyq pawepo na unyevu nyevu muda wote huwa tunaweka mkaa na chumvi mara nyingi ili kuhakikisha unyevunyevu unakuwepo tu all the time
 
Nini maana ya direct phase na indirect phase kwenye nyumba na ukijibu namba kujua na faida zake kila moja asante
 
Je ni lini tutaacha kutumia cables kwa ajil ya electric transfer ,badala yake tutumie mfumo wa wifi majumbani ili tutokomeze ajali zinazosababishwa na short no?
 
Umeme wa phase one,phase two,na phase three una tofauti gani?
Tofauti yake ni uwezo (Capacity).Yani umeme wa single phase (phase one kama ulivyoandika) unakuwa na uwezo hafifu kuliko ule wa three phase.

Single phase hutumika kwa matumiz ya kawaida na three phase kwa matumiz makubwa
 
Unakuta umezima taa lakni baada ya muda inakuwa inawaka na kuzima yenyewe
Cjui tatizo ni nini Mkuu maana nmejaribu kubadiliasha balbu ila ugonjwa n uleule
Kama tatzo hilo hutokea hata kwa siku ambazo hakuna radi basi angalia switch ya taa yako.Huenda haifanyi kaz vyema
 
Haya ma engineer wa umeme. Ngojea na sisi tukafungue thread ya kwetu
 
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa.

Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit)

- Michael Faraday
SI unit of capacitance farad(f)

- Andre Marie Ampare
SI unit of electric current(a)

- Alessando Volt
SI unit of voltage(v)

- George Simon Ohm
SI unit of electric resistance

- James Watt
SI unit of power(w)

- Joseph Henry
SI unit of inductance(h)

- Heinrich hertz
SI unit of frequency(Hz)

- Nikole Tesla
SI unit of magnetic field strength (T)

- Charles Augustin de Coulumb
SI unit of electric charge(C)

- Werner von Siemens
SI unit of conductance(s)

Love electrical, i love current.
Kwa nn bei ya unit ya umeme inataka kupanda badala ya kushuka wakati tumeanza kutumia gas, na Leo nimesikia kwenye vyombo vya habari waziri mkuu akisema kuwa umeme dar hautakatika tena, je ni kweli?
 
Back
Top Bottom