MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 663
- 735
Sasa kama unajua ni chanya, nikujibu nini?“Visit Rwanda 🇷🇼” ktk jersey za PSG ya France 🇫🇷 na ile Arsenal pale England 🏴 inamatokeo chanya hasa ktk kuvutia watalii, kipi kimeongezeka ktk tasnia yenu ya utalii baada ya kuwepo kwa visit hizo ktk club kubwa za ulaya???
Kwan ukikubal kwenu Rwanda tutakufukuza?Mimi ni Dereva wa Truck, knowledge yangu kuhusu Rwanda inatokana na mimi kwenda Rwanda Burundi DRC Uganda Kenya Malawi Zambia nk. mara kwa mara, wewe ulijifungia Wilayani kwenu usiwe rahisi ku judge
Rwanda ipi wanainjoi mkuu mbona unatufanya kama ni wageni Rwanda.Bahati mbaya sasa ndo hivo hayupo, aliyepo wanaoongozwa nae, ndo wanaenjoy maisha.
Hiyo list uiweke na sababu za kila mmoja kuuliwa au kufungiwa kwake.
Unachokiita kuenjoy ni nini labda? Kama huna unachokipenda, uunapenda ulicho nacho.Rwanda ipi wanainjoi mkuu mbona unatufanya kama ni wageni Rwanda.
Kilo moja ya mchele huko Rwanda ni bei gani?Cha kwanza kabisa kuna certificate of import, inapatikana kwa fedha ya Rwanda laki mbili(200,000 Frws), ushuru, kilo moja mara ya mwisho ilikuwa 500 kwa kilo, hapo uhakika wa 100% unapata kwa watu wa forodha mpakani.
Eti ni kweli alipiga marufuku makanisa na misikiti kuwepo nchini kwake ?ina maana hakuna kanis lolote au msikiti mnaishi tuu kama wachina?Una chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
Sasa mkuu, unajua kilichopelekea watutsi wa DRC kuanza kuuliwa si idadi, bali hiyo ideology?Ni kweli FDLR Bado ni tishio kwa usalama wa rwanda.mbona hao migambo hawafiki hata 5000 ni wachache ila tu idealogy Yao ndo mbaya..ila nguvu hawana..ni kweli wanapewa sapoti na majeshi ya DRC?
Kwa mchele wa Tanzania, ni kati ya 2500 hadi 3200. Hizi ni Grade II na III, Grade I yenyewe haipo.Kilo moja ya mchele huko Rwanda ni bei gani?
Rwanda ni gereza kubwa. Kwa ambao wameenda pale ni mashahid hawana tofauti na Korean kaskazinUnachokiita kuenjoy ni nini labda? Kama huna unachokipenda, uunapenda ulicho nacho.
Wenyeji wako unategemea na utembeleako. Na mtu kuwa na kidogo kuliko ulicho nacho wewe,hakuwezi kumfanya aonekane mnyonge.
Mbona Tanzania wapo wenye hali ngumu zaidi ya hao wanyarwanda? hawaenjoy maisha yao?
HahahahahahahEti ni kweli alipiga marufuku makanisa na misikiti kuwepo nchini kwake ?ina maana hakuna kanis lolote au msikiti mnaishi tuu kama wachina?
Vizuri sana kama umeliona, usirudiko, wafungwwa wazoefu wanaishiRwanda ni gereza kubwa. Kwa ambao wameenda pale ni mashahid hawana tofauti na Korean kaskazin
. Karusisi: Hakuna mnyarwanda kwenye cheo chake ni mungu-mtu. Amekuwepo, ametekeleza majukumu yake, na wengine wanahitaji kupata uzoefu.Kwanini Kagame amemitumua Karusisi na kumuweka Gashugi ambaye hana uzoefu mkubwa ???
Kwanini Rwanda, nchi ambayo ni tajiri inaogopa kuwekewa vikwazo vya misaada (Aids and Grants) kutoka EU na G7 ???
Hivi kima cha kipato cha kila raia wa Rwanda (GDP Per Capita) ni kikubwa kiasi gani ???
Teh teh teh teh teh teh teh !!! Kwa hiyo, mtanzania aliezaliwa Rwanda akija kwenu na kuongea Kinyarwanda, ataonekana mnyarwanda!Mkuu una uhakika wewe ni mnyarwanda? Mbona unachalaza Kiswahili kama mzalamo wa manzese kabisa.