Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Test ya syphilis afu unasema ana ukimwi? Picha ya SD bioline iko wapi? Uni gold je
Hivi kati ya SD bioline HIV self Test na Unigold HIV self test ipi iko poa kwenye kutoa matokeo sahihi ?

Kwa yeyote anayefahamu naomba ajibu please.
 
Naam ukiona mwanamke hana response na ww move on mapema it will save you from a lot of embarrasement.
Keki ni kubwa sana tafuta kipande chako na wewe jikatie uinjoy taratibu
Sometimes tunapenda kufukuziwa jamani msi move on mapema aah 😀😀
 
Hivi kati ya SD bioline HIV self Test na Unigold HIV self test ipi iko poa kwenye kutoa matokeo sahihi ?

Kwa yeyote anayefahamu naomba ajibu please.
Uwa wanaanza kutumia SD Bioline ukikutwa positive wanakupika ya Uni gold so Uni Gold ndo kinatoa majibu sahihi na kinaaminika zaidi
 
Timu ya watafiti imechambua data kutoka kwa karibu mataifa 90 ili kubaini ni wanaume wa nchi gani wana ukubwa wa wastani wa uume uliosimama.

Utafiti huo, uliochapishwa na Data ya Ulimwenguni, ukitanabaisha kwamba wanaume wa Ekuado ndio watu waliobarikiwa uume mkubwa zaidi ulimwenguni kufikia wastani wa kipimo cha urefu wa inchi 6.93 na kufatiwa na Cameroon wakiwa na inch 6.56.

Orodha kamili imeonyeshwa hapa chini:

IMG_2680.jpg

Source: International penis sizes compared
 
View attachment 2663050

Asa inch 6,si ndio kipimo cha kawaida,kwani na wewe umepitiwa kupimwa
 
Timu ya watafiti imechambua data kutoka kwa karibu mataifa 90 ili kubaini ni wanaume wa nchi gani wana ukubwa wa wastani wa uume uliosimama.

Utafiti huo, uliochapishwa na Data ya Ulimwenguni, ukitanabaisha kwamba wanaume wa Ekuado ndio watu waliobarikiwa uume mkubwa zaidi ulimwenguni kufikia wastani wa kipimo cha urefu wa inchi 6.93 na kufatiwa na Cameroon wakiwa na inch 6.56.

Orodha kamili imeonyeshwa hapa chini:

View attachment 2663050

Source: International penis sizes compared
Ko wanaume wetu wa Tanzania mna vibamia

Oke oke
 
Tanzania ola🤦🤦🤦
 
Halafu nyuzi kama hizi bila kuweka picha unakua ni umbeya tu. Picha za hayo maumbile ziko wapi
 
Back
Top Bottom