rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,543
42,101
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika Ineed somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika yake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========

TAKE NOTE:

===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
 
Hellow Guyz,

Nimewahi kupata experience ya matukio mawili ambayo yalinipa maana halisi ya "UNEXPECTED SEX" . Tukio la kwanza lilitokea mwaka 2009 ambapo nilipanda basi nikielekea Tabora kwenda kumuona ndugu yangu wilayani Uyui lakini ndani ya gari nilikutana n mdada ambaye she was 25 by then.

Na baada ya stori mbili tatu tukafahamiana na tuliposhuka stend nikamwambia mi nitalala hapa town then asubuhi niende wilayani nikaamua kumjaribu kwa kumuomba tulale wote she didn't mind it at all.

Kilichofuata ilikua ni shoo ya kufa mtu ambayo I never had it before na ilipofika asubuhi tukaagana na hatukuwahi kuwasiliana tena till now.

Tukio la pili limetokea last year kipindi cha mwezi wa february; Shemeji yangu mmoja alikuja kuleta mzigo wa kaka yangu sasa cha ajabu alipoingia ndani mvua ikaanza kunyesha kwa nguvu mpaka nikaamua kufunga milango.

Baada ya hapo nikakaa na shemeji na baada ya stori mbili tatu nikaona ananiambia "shem cku hizi unaonekana mrefu",nilipomuuliza kwanini akaniambia naona kama unanizidi vile.

Ndipo tulipoaamua kupima kwa kusimama huku yeye akiwa mbele yangu na niliposhika her WAIST nikaona anavuta mikano basi ikabidi nimpe mamboz na mvua ilipoisha akaondoka and we never did it again coz it was a good sex to a wrong person.

Sasa wanajamvi naomba kupata experiences zenu katika hili.

Nani amewahi kufanya mapenzi kwa bahati mbaya? And how did it happen?

Na kuna ukweli wowote kwamba UNEXPECTED SEX NI TAMU ZAIDI KULIKO ILE INAYOKUA PLANNED?
 
Hellow Guyz,,,,,,
Nimewahi kupata experience ya matukio mawili ambayo yalinipa maana halisi ya "UNEXPECTED SEX" .
Tukio la kwanza lilitokea mwaka 2009 ambapo nilipanda basi nikielekea Tabora kwenda kumuona ndugu yangu wilayani Uyui lakn ndani ya gari nilikutana n mdada ambaye she was 25 by then na baada ya stori mbili tatu tukafahamiana na tuliposhuka stend nikamwambia mi nitalala hapa town

kwa wanaume ni mara chache sana kufanya mapenzi kwa bahati mbaya, mara nyingi ni kwa kusudia.
wanawake wao wana nafasi kubwa sana ya kufanya mapenzi bila kukusudia.

ungewaita wanawake wa JF kwa majina ili waje watiririke.
 
Ni kweli mwaka 2010 nilikuwa natoka moshi naenda mbeya nilikaa siti moja na dada mmoja mhaya yeye alikuwa anaenda mafinga iringa tulipofika moro gari ikaharibika tulikaa moro hadi saa kumi jion ikaja basi kutufaulisha.

Tulipofika Iringa mjini ikawa usiku saa nne ikabidi tushuke tulale hapo kwa vile yule dada alinizoea tukatafuta gest chumba kimoja nilimgonga bila hata ya kupiga saund. Tukajikuta tunaumana bila hata kukusudia.
Hyo ya bila kukusudia tamu sana.

Sita msahau mhaya yule
 
Ni kweli mwaka 2010 nilikuwa natoka moshi naenda mbeya nilikaa siti moja na dada mmoja mhaya yeye alikuwa anaenda mafinga iringa tulipofika moro gari ikaharibika tulikaa moro hadi saa kumi jion ikaja basi kutufaulisha. Tulipofika Iringa mjini ikawa usiku saa nne ikabidi tushuke tulale hapo kwa vile yule dada alinizoea tukatafuta gest chumba kimoja nilimgonga bila hata ya kupiga saund. Tukajikuta tunaumana bila hata kukusudia.
Hyo ya bila kukusudia tamu sana.
Sita msahau mhaya yule

Akishakuwa MHAYA sio bahati mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom