fatcat
Member
- Jan 8, 2014
- 56
- 117
Mkuuu! Kwanza pole sanaHuyu manzi hataki hela mkuu, wala gari ashobokei,..
Nakumbuka nilichukua gari la msela nika enda tega njiani mida yake ya kazini nikamvizia njiani muda anaenda kazini kipindi cha mvua nika mpalift hadi kazini kwake nikajiongeza nikampa na kaela ka lunch kamsukume sukume ila hashobokei ma vitu ya anasa mkuu
Yani ni mgumu.
Nahitaji haya maji ya pande mlima ndugu yangu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli huyo manzi ameshikiria msimamo mbali na yote uliyofanya, na uko na uhakika 99% kuwa ni mwanamke na hana mpenzi mwingine, basi mkuu tatizo sio ww...tatizo ni yeye.
Kuna manzi mwaka 2021, nilikua namfukuzia Arusha...nilitumia mbinu zote ninazozijua...zilivoisha zote bila mafanikio kwa miezi kama 8 hiv bas nikaamua kutumia mbinu ya KUTIA HURUMA[emoji1]
Hii mbinu ilifanikisha jambo langu japo nguvu kiasi pia zilihusika......lakin huwezi amini yule manzi nilipiga bao 1 tu, nikasingizia naumwa akaondoka. Manzi Alikua anatoa harufu ambayo HAIVUMILIKI.
Uyo manzi kwa nje kila aliemuona alimtamani, msafi wa mwili na mstaarabu, lakini papuchi kutoa hataki kumbe ana tatizo hataki mtu ajue anahisi mwanaume 1 akijua bas kitaa kizima wana wote watajua. Manzi alikosa amani hadi nilipohama ule mtaa.
Hakuna binadamu mtu mzima, anakula anashiba, ana akili timamu alafu asipende mizagamuo...si kweli
Hivyo hata kwako naamini uyo manzi yuko na tatizo