NIMESEMWA SANA NA MADOKTA YAANI NIMESEMWA KAMA MTOTO AISEE WANACHO NILAUMU KWA NINI UPIME BAADA YA TENDO WAKATI ILITAKIWA KABLA YA TENDO.
KIJISAHAU KUPO NDO NILICHOJITETEA NAJUTA AISEE UNASEMWA HUKU UNAPEWA NA ELIMU YA DAWA PEP HAHAH NAONDOKA NACHEKA ILA MOYONI SINA AMANI KABISA WAKUU.
NIMETOKA KUOSHA UUME NA SPIRIT NASUBILI MUDA UFIKE NILE NINYWE PEP YANGU NILALE.
ASANTE WOTE MNAONIPA MOYO AJALI KAZINI... PIA ASANTENI WOTE MNAOKEBEI HILI ATA MIMI NILIKEBEI HIVYO HIVYO ILA MUNGU LEO KANIPA FUNDISHO MOJA KUU SANA.
NACHO WASISITIZA WATAALAM TUPIMENI AFYA, HAWA MADEMU WADOGO WADOGO WENGI WAMEUNGUA SABABU WENGI WAO WANATEMBEA NA WAZEE WALIOTANGULIA KULIONA JUA KABLA YAO HIVYO WANAAMBUKIZWA TU BILA WAO KUJIJUA.
NAWAPENDA SANA KESHO NITATOA MREJESHO WA MAUDHI YA PEP BAADA YA KUNYWA LEO.
ASANTE
Nani amekuambia uoshe mashine na spirit??.
Unapomaliza kumwaga shahawa, chakwanza kwanza, ingia bafuni jimwagie maji kwenye mashine uondoe maji maji yote ya ukeni.
Kuna wapuuzi wanamwaga ,wanaendelea kumtuliza mbooo Kwa K alafu baadae wanatoa mbooo nje, wanajifuta 🤣🤣...mtaondoka!!.
Ukishamwaga tu, wee usisubiri , mida huohuo , toa Mboo nje, ingia bafuni, jimwagie maji , USITUMIE SABUNI WALA NN.
HIV anatumia karibia Masaa 72 ( siku tatu ) ili kupata Seli zinazomsaidia yeye kujizalisha.
Kwa Masaa haya 72 HIV atakua anazunguka kule na kule kuzitafuta zeli hizo, akishaingia tu basi, hata PEP hafai tenaa.
Hivo basi kwakua umewahi mapema, PEP itamfanya kazi Kwan bado HIV Yuko kwenye muda wa kuzunguka huko na huko kutafuta makazi ya kuanza kuzaliana .
Kunywa PEP, kula ushibe.
Najua mwezi mzima, hautakua unalala vizuri, ndoto za ajabu, kuhisi unapaa, kuhisi unaitwa itwa, tumbo **** ,kichefu chefu, haya yote ni maudhi ya Dawa ambayo HAUNA BUDI ZAIDI YA KUVUMILIA.
Tombeni sanaaa, kuleni sana masihara, ila ila ila KONDOM NI MUHIM.
Siku mkijiuliza kwann sahizi Kila Kona Kuna MATAKO MAKUBWA, ndo mtajua kua ARVs ni nyingi na zimezigaa mtaani!!.
Mimi pamoja na uhuni woteeee, ulaji tunda Kimasihara sanaaaa, Kondomu Huwa ni lazima, hata tupime, lazima nikutombe Kwa ndomu.
Kuna watu wanachelewa kua Seropositive , Hawa unakuta Ndani ya miezi miwili mpaka minne au sita, wanasoma negative, lkn ni watu ambao ni highly infectious yaan wenyewe wanasoma hawana HIV ila Sasa wanakuaa na kiwango Kikubwa sana Cha HIV kwahiyo wanaambukiza kwelikweli yaan ni kugusa tu paaaa, unaondoka nao.