nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 674
- 1,064
[emoji849][emoji849][emoji706][emoji706][emoji706]Daudi alivokula kimasihara mke wa jemedar wake na Mungu alivyo amua achagua adhabu apigwe na Yeye au apigwe na adui zake. Yaan wewe hapo upigwe na Mume wa huyo mwanamke [emoji13][emoji13] au upigwe na Mungu. Daudi alichagua apigwe na Mungu maana adui yako haangalii wapi apige unaweza pakwa hata mafuta ukaliwa kiboga.
Daudi alitubu Mungu akamsamehe hata mtoto wa Uzinzi Mungu alimuua. Kama Daudi alitubu kwa nn ww ushindwe mwili unakuzidi Nguvu.
Masihara yalimponza lakini alitubu akasonga ndicho Mungu anataka. Maana masihara Yalisababisha Jeshi lake kupigwa na Mungu wakafa wengi sbb yake tu. Mungu hakumpiga Yeye alipiga watu wake ili aumie. Manake Mungu aliruhusu mabaya yampate. Kwako inawezekana pia ukarogwa, uchumi ukayumba, ukapoteza wanao kwa ajari maana ajari ni kichapo cha shetani,magonjwa yasiyoisha pesa zinaishia hospital na kwenye Pombe ni kichapo hicho.
Ipo Neema na Mungu akupe mpendwa
Mnagopa tu.... mbona hata huyu kwa dp yangu nilimkuna vizuri tu na hataki kuniacha.....wenyewe ndio wanachora ramani vizuri. Labda kama huna helamkuu ukipakwa mawese kwenye marinda huko usilie
[emoji849][emoji849][emoji706][emoji706][emoji706]
Muhimu na cha msingi unachotakiwa kujua ndugu mhubiri wa kujitolea ni kwmb kula mbususu ni dhambi kwa waliooa,ko watafute wenye ndoa wenzako muunde jukwaa uwahubirie tuache sisi ambao hatutak kuoa tuendelee kuchakata mbususu,ukibisha uje na maandiko unless hujui maana ya uzinzi na uasherati [emoji419]Hivi wapi umebezwa, wapi nimejigamba[emoji16][emoji16] wapi nimetukana watu mnafanya matusi lakini naonekana mimi na wewe kwamba nimetukana li wap TUSI moja nimetukana. Ukweli unaita matusi . Kwamba nikuambie kwa upole kwamba ufanye nn sasa. Umeshindwa kuwasikia viongozi wako unaowapa sadaka unataka unisikie mimi[emoji16][emoji16]. Mimi nasema ukweli na Mungu anajua upokee au uache shauri lako.
1 Wathesalonike 4:7 - Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. KAMA HUJAITWA UTANIONA NAKUTUKANA LAKIN MUDA UKIFIKA NAWE UKAITWA ROHO YAKO ITAKUSHUHUDIA KWAMBA NALISEMA UKWELI. Lakin muda unaweza usifike pia Ndio maana Nipo hapa si wote walioitwa ila wengine walisikia wakaamini. Sio lazima uwe WEWE MBONA UNAJILAZIMISHA UWE WEWE
1 Wathesalonike : 4 : 8 - Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.
ANAE AMUA UOKOLEWE NI MUNGU SIO MWANADAMU SIJAJA KUOKOA MTU HAPA. Bali mwenye masikio atasikia sauti ya Bwana wake. Na Yeye na bwana wake Yesu watakutana wao mi sihusiki. Hivo relax mkuu wa kaz
Muhimu na cha msingi unachotakiwa kujua ndugu mhubiri wa kujitolea ni kwmb kula mbususu ni dhambi kwa waliooa,ko watafute wenye ndoa wenzako muunde jukwaa uwahubirie tuache sisi ambao hatutak kuoa tuendelee kuchakata mbususu,ukibisha uje na maandiko unless hujui maana ya uzinzi na uasherati [emoji419]
Naomba visa vya kimasihara viendelee [emoji116][emoji116][emoji116]
Yes, Yesu ni mponyaji. Tena ni jibu lililo hai . Ubarikiwe.Yesu anaponya na Mambo ya Mungu si ya kulazimishana. Usipopokea wewe atapokea mwingine humu humu wala usijal. Ukijiona mkal ujue ujumbe sio wako. Wewe endelea kuchapa mbususu
Yes, Yesu ni mponyaji. Tena ni jibu lililo hai . Ubarikiwe.
Sasa apa umejibu nn jamaaMatendo ya Mitume 21:25 - Lakini kwa habari za watu wa Mataifa walioamini, tuliandika na kutoa hukumu yetu ya wao kujilinda nafsi zao na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na kitu kilichosongolewa, na uasherati.
Wapo wanaoamini wanaachana na haya si lazima wewe
We kubali km hujaoa kula mbususu sio dhambi,niletee andiko linasema otherwiseMatendo ya Mitume 21:25 - Lakini kwa habari za watu wa Mataifa walioamini, tuliandika na kutoa hukumu yetu ya wao kujilinda nafsi zao na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na kitu kilichosongolewa, na uasherati.
Wapo wanaoamini wanaachana na haya si lazima wewe
@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.Akwende zake, akahubirie familia yake.
@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.
Amen, kila mtu ana wakati wake wa kumkumbuka Muumba wake. Tuombe Sana hii Neema itushukie ndani mwetu... Endelea kumtumikia Mungu maana ujira wako anaujua yeye. Ubarikiwe... Nenda hasa kule kwenye majukwaa ya dini na hakika utasikika.Umenena vema. Si kwa Mawazo yako bali Roho wa Bwana ndani yako. Mungu akutunze
Sijamkatalia kwanza huo uwezo sina, ushauri wangu kwake ilikua aende jukwaa husika.@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.
[emoji23]Alitaka ale tunda kwa 2900 amerudishiwa tena katumiwa 10000 saiv anapiga simu haipokelewi
Amen, kila mtu ana wakati wake wa kumkumbuka Muumba wake. Tuombe Sana hii Neema itushukie ndani mwetu... Endelea kumtumikia Mungu maana ujira wako anaujua yeye. Ubarikiwe... Nenda hasa kule kwenye majukwaa ya dini na hakika utasikika.
NI kweli huyu ni wa kumpotezea tu..Hamna kumkwoti wala kumsemesha chochote kileMnavojib ndo mnampa kichwa aendelee. Tunaigore tu visa vinaendelea