Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Daudi alivokula kimasihara mke wa jemedar wake na Mungu alivyo amua achagua adhabu apigwe na Yeye au apigwe na adui zake. Yaan wewe hapo upigwe na Mume wa huyo mwanamke [emoji13][emoji13] au upigwe na Mungu. Daudi alichagua apigwe na Mungu maana adui yako haangalii wapi apige unaweza pakwa hata mafuta ukaliwa kiboga.

Daudi alitubu Mungu akamsamehe hata mtoto wa Uzinzi Mungu alimuua. Kama Daudi alitubu kwa nn ww ushindwe mwili unakuzidi Nguvu.

Masihara yalimponza lakini alitubu akasonga ndicho Mungu anataka. Maana masihara Yalisababisha Jeshi lake kupigwa na Mungu wakafa wengi sbb yake tu. Mungu hakumpiga Yeye alipiga watu wake ili aumie. Manake Mungu aliruhusu mabaya yampate. Kwako inawezekana pia ukarogwa, uchumi ukayumba, ukapoteza wanao kwa ajari maana ajari ni kichapo cha shetani,magonjwa yasiyoisha pesa zinaishia hospital na kwenye Pombe ni kichapo hicho.

Ipo Neema na Mungu akupe mpendwa
 
[emoji849][emoji849][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hivi wapi umebezwa, wapi nimejigamba[emoji16][emoji16] wapi nimetukana watu mnafanya matusi lakini naonekana mimi na wewe kwamba nimetukana li wap TUSI moja nimetukana. Ukweli unaita matusi . Kwamba nikuambie kwa upole kwamba ufanye nn sasa. Umeshindwa kuwasikia viongozi wako unaowapa sadaka unataka unisikie mimi[emoji16][emoji16]. Mimi nasema ukweli na Mungu anajua upokee au uache shauri lako.

1 Wathesalonike 4:7 - Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. KAMA HUJAITWA UTANIONA NAKUTUKANA LAKIN MUDA UKIFIKA NAWE UKAITWA ROHO YAKO ITAKUSHUHUDIA KWAMBA NALISEMA UKWELI. Lakin muda unaweza usifike pia Ndio maana Nipo hapa si wote walioitwa ila wengine walisikia wakaamini. Sio lazima uwe WEWE MBONA UNAJILAZIMISHA UWE WEWE

1 Wathesalonike : 4 : 8 - Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.

ANAE AMUA UOKOLEWE NI MUNGU SIO MWANADAMU SIJAJA KUOKOA MTU HAPA. Bali mwenye masikio atasikia sauti ya Bwana wake. Na Yeye na bwana wake Yesu watakutana wao mi sihusiki. Hivo relax mkuu wa kaz
Muhimu na cha msingi unachotakiwa kujua ndugu mhubiri wa kujitolea ni kwmb kula mbususu ni dhambi kwa waliooa,ko watafute wenye ndoa wenzako muunde jukwaa uwahubirie tuache sisi ambao hatutak kuoa tuendelee kuchakata mbususu,ukibisha uje na maandiko unless hujui maana ya uzinzi na uasherati [emoji419]

Naomba visa vya kimasihara viendelee [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Matendo ya Mitume 21:25 - Lakini kwa habari za watu wa Mataifa walioamini, tuliandika na kutoa hukumu yetu ya wao kujilinda nafsi zao na vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, na kitu kilichosongolewa, na uasherati.

Wapo wanaoamini wanaachana na haya si lazima wewe
 
We kubali km hujaoa kula mbususu sio dhambi,niletee andiko linasema otherwise
 
Akwende zake, akahubirie familia yake.
@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.
 
Ni Rahisi kwenda Kanisani ama Msikitini kwamba unaenda kwenda kupokea vitu vya ki Mungu vitakavyo kusaidia katika maisha haya ya dunian.

Ndo maana unatoa sadaka kwamba anakupa vya Rohoni na wewe unampa vya mwilini wafanya vyema ni agizo la Mungu.

Tamaa za mwili na Mawazo mabaya ni dhahiri anaekupa vya Rohoni hakutendei haki basi wote hamwezi kutenda haki ya Mungu.

Wakolosai 3:5 - Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu;

Kwamba waabudu sanamu bila kujua na kiongozi wako hajui. Sanamu ni kitu unachokipenda ambacho hakina utukufu wa Mungu. Je unakuwa na tofauti gani na MPAGANI AHERI YAKE BASI KUMBE MAANA HAUJUI MLANGO WA KANISA.

Wapendwa kila mtu anapenda kutenda haki lakini shetani hataki. Ni jukumu lako kuomba ili Mungu akuone akutengenezee njia.

Maana njia iendayo uzimani ni Nyembamba tena imesonga songa.

Tamani kumuona bwana na Bwana akupe kuona. Maana dini zimeshindwa kuwasaidia watu bali watu wanazisaidia dini. Kumbe dini ni upuuzi tu kama upo kwenye dini na bado unalamba Mavi ati umflaishe mtu mdomo huo huo uende nao kwa Mungu ati unaomba kweli[emoji24][emoji24] umekula choo afu unafanya nn. Umepiga Mashine mke wa mwenzio, mke wa mwezio amekukula afu unaenda kanisani bila haya pasipo toba ya kweli. Yesu alipindua Mezza za wafanyabiashara, waliouza njiwa na mbuzi na wakabadilishana pesa. Akawaambia wazi Nyumba ya Baba yangu ni Nyumba ya Sala. Sasa mnajazana makanisani na misikitini kwa mambo haya ya matabia haya si ndo Yesu aliwakalipia ninyi.

Kuna ubaya gani mimi kuwakumbusha Habari njema kwamba upo uzima nao watoka kwa Bwana. Kama unaona haupo tayari kuacha dhambi si uache kupoteza pesa zako za zaka na sadaka piga Mbususu mwanawane.

Unajifanya VUGUVUGU huko mtaani kwako kwamba kanisani umo na kwenye uchafu UMO.
Heeeeeiii Neno la Mungu lipo wazi.

Ufunuo wa Yohana 3:16 - Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.

Ni aheri ya mpagani aliye Baridi Mungu anamtaka. Kanisani, msikitini umo na kwenye na sanamu umo. Mungu atakutapika sasa Nipo hapa sikutishi mpendwa. Mungu ni wa rehema anataka turejee kwake nami Nakukumbusha ni hasara kufa hujasahihisha haya ndo mana hamjui siku wala saa. Lakini ukisahihisha ukaishi katika Pendo lake Mungu. uwe na hakika utaijua siku na saa maana Yeye ni BABA TENA NI RAFIKI ATAKUPASHA HABARI.

Basi niache sasa tutaonana jioni KIMASIHARA ZIENDELEE WAPENDWA MLOPENDWA NA BWANA MPAKA AKAMTUMA MWANAE MIMI HAPA NIJE NIWAPE HABARI NJEMA. Ninyi niwapendwa. Baba anawapenda
 
@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.

Umenena vema. Si kwa Mawazo yako bali Roho wa Bwana ndani yako. Mungu akutunze
 
Amen, kila mtu ana wakati wake wa kumkumbuka Muumba wake. Tuombe Sana hii Neema itushukie ndani mwetu... Endelea kumtumikia Mungu maana ujira wako anaujua yeye. Ubarikiwe... Nenda hasa kule kwenye majukwaa ya dini na hakika utasikika.
 
@Kelsea mwache ahuburi neno la Mungu,,, kama anavyowiwa kutoka ndani ya moyo wake. Maana neno la Mungu linahubiriwa mahali popote na Kwa watu wowote... Kama huna interest na hicho kitu, mnyamazie tuu. Ataongeaaaa akimaliza ataacha. But yule mwenye kusikia atasikia akitaka... Sema hatakiwi kuforce mtu kufanya anachotaka yeye,,, Bali pale mtu anapobadilika mwenyewe kutoka ndani ya moyo wake. Maana hapa hatujuani matendo yetu ni yepi. Mtu aweza akawa anaandika hapa lakini nyuma ya keyboard ni mtu mwema na matendo yake ni bora... Anatakiwa kuhubiri na mwenye kusikia atasikia, maana hiyo ni moja ya wajibu wake kutangaza sifa za Yesu,,, huwez jua kupitia yeye Kuna mtu 1 alikuwa anasuburiwa kubadilika Kwa sababu ya huyu mtu. Mpotezee tu.
Sijamkatalia kwanza huo uwezo sina, ushauri wangu kwake ilikua aende jukwaa husika.
 
Back
Top Bottom